Daily Archives: September 8, 2017

Huu ndio ujumbe wa Ebitoke kwa Ben Pol kwen...

Post Image

Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali. Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine. “Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge 😘😘😘 @iambenpol #Kidume […]

Read More..

Chemical: Sijawahi Kupendwa na Stereo kwa D...

Post Image

RAPA wa kike anayefanya vizuri kwenye Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa, msanii Stereo ambaye amekuwa akijanasibu kwenye vyombo vya habari kwamba anampenda, ukweli ni kwamba mwanamuziki huyo hajawahi kumpenda kwa dhati kwa kuwa bado mwanaume huyo hajamwonesha vitendo vyenye kuthibitisha hilo. Akipiga stori na Showbiz Extra, Chemical alisema kuwa, hajawahi kupendwa kwa […]

Read More..

Dogo Janja atimiza ndoto yake kwa kukutana ...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava kutoka kundi la Tip Top Connection, Dogo Janja hatimaye amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto yake. Dogo Janja anayehit na ngoma ya ‘Ngarenaro’ amefunguka hayo baada ya kukutana na mkali wa ngoma ya ‘Seduce Me’, Alikiba na kupiga naye picha. “Alhamdulilah leo nimetimiza ndoto yangu ingine yakupiga picha na alikiba @officialalikiba #Ngarenaro […]

Read More..

Seduce Me ya Kiba Kuitetemesha Arusha

Post Image

WASANII nyota wa muziki hapa nchini, Ali Kiba, Joh Makini, Dogo Janja, Madee na Lulu Diva, ni miongoni mwa wasanii waliosajiliwa ili kutoa burudani katika tamasha la Tigo Fiesta 2017-Tumekusoma. Wasanii hao pamoja na wengine lukuki, walisajiliwa katika matukio yaliyofanyika wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, lakini lile la Mbagala Zakheem likionekana kutia fora kutokana […]

Read More..

Gwajima Kumuombea Lissu

Post Image

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima  wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kusema kuwa siku ya Jumapili atafanya maombezi maalum kwa afya ya Mbunge Tundu Lissu ambaye jana alipigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Dodoma nyumbani kwake. Mchungaji Gwajima amesema kuwa atatumia misa hiyo kulaani vikali kitendo cha kinyama alichofanyiwa Tundu Lissu na watu hao […]

Read More..