Daily Archives: September 9, 2017

Richie Awapa Neno Wapiga Picha za Utupu

Post Image

Msanii wa filamu za kibongo Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, ametoa sababu ya wasichana wengi sasa hivi kukimbilia kufanya ‘video vixen’ ambako hutumia kama kivuli cha kufanya mambo machafu, tofauti na kipindi ambacho wao walianza sanaa. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio walipokuwa wanatambulisha kipindi chao kipya cha […]

Read More..

Shilole na Uchebe Msituchoshe Mashabiki

Post Image

PENZI jipya la mwimbaji nyota wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na mshikaji anayejulikana kwa jina la Ashraf Uchebe, wiki hii limetikisa mitandao ya kijamii. Sababu kubwa ya wawili hao kugonga vichwa vya habari za burudani nchini ni baada ya kuibuka ukurasa mmoja katika mtandao wa Instagram, uliotumia jina la @official_uchebe kuandika maneno yaliyoonyesha mateso […]

Read More..

Wema Sepetu abadili uamuzi wa kung’oa kiz...

Post Image

Mwigizaji Wema Sepetu anaonekana kuyatafuna maneno yake ya awali, alipokiri kwamba atatoa kizazi chake kama hatakuwa amefanikiwa kushika mimba atakapotimiza miaka 32. Kwa kipindi kirefu, Wema mwenye miaka 29 amekuwa akihangaika kupata mtoto bila ya mafanikio. Mwaka jana alipokuwa na uhusiano na mshiriki wa zamani wa Big Brother Idris Sultan, alieleza kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..

Wolper Afunguka Kumtolea Mahari Mchumba Wak...

Post Image

Msanii wa filamu bongo mwenye mvuto wa kipekee Jacline Wolper, amefunguka kuhusu suala la kumtolea mahari mchumba wake ambaye yuko naye kwa sasa, na kusema kwamba si kweli kama anataka kumtolea mahari huku akigusia harusi yao. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wolper amesema habari hizo hazina ukweli wowote kwani sio suala la mahari […]

Read More..