Daily Archives: September 13, 2017

Gabo Afunguka Kuhusu Bifu

Post Image

MKALI wa Filamu za Bongo, Gabo Zigamba, amesema wasanii kuendekeza bifu ni dalili za kujimaliza kabisa na kukosa ubunifu kwenye kazi zao. Hivi karibuni msanii huyo amejikuta katika ugomvi na msanii mwenzake, Daudi Michael maarufu kama Duma kutokana na kila mmoja kumlalamikia mwenzie kushindwa kuitendea haki tasnia hiyo. Gabo amesema kuendelea kuzozana na Duma ni […]

Read More..

Irene Utamu Mwanzo Mwisho

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Irene Uwoya ametamba kuwa, kipaji alichonacho ni cha kipekee kwani licha ya kuwa zilipendwa, lakini bado hachuji akiendelea kukamua kana kwamba kaianza fani juzi tu. Irene alisema kuthibitisha kuwa kipaji chake ni cha pekee ni jinsi alivyoingia kwenye fani na kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike Chipukizi mwaka 2008 ya […]

Read More..

Alichosema Jaydee kuhusu Tundu Lissu

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye leo ameachia kazi yake mpya ya ‘I miss you’, ametoa maoni yake juu ya hali ya sasa inayoendelea hapa nchini, ikiwemo matukio ya kupigwa na risasi kwa Tundu Lissu na Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Lady Jaydee […]

Read More..

Uongo Unaangusha Bongo Movie – Patcho Mwa...

Post Image

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Patcho Mwamba amefunguka kuwa tabia ya uongo kwa baadhi ya wasanii wakubwa katika tasnia ya filamu kunakimbiza baadhi ya wawekezaji katika tasnia ya filamu Bongo, kwani wengi si wakweli na udanganya kila mtu kuanzia wao kwa wao hadi matajiri. “Unaenda location na nguo viatu kibao ili usipate shida ukiondoka unaangalia hakuna […]

Read More..

Ebitoke Yeye na Ben Pol tu

Post Image

MCHEKESHAJI Ebitoke bado amemng’ang’ania mfalme wa R&B nchini, Ben Pol akidai anaendelea kumtunzia usichana wake hadi atakapokuja kuolewa na mwimbaji huyo. Ebitoke amekuwa akisema kila mara kwamba huwa anaumia roho anaposikia msichana anajitangaza kuwa ni mpenzi wa Ben Pol kwa madai kwamba lengo lake ni kuja kuolewa na kujenga familia na mkali huyo wa R&B. […]

Read More..

Mc Pilipili Apata Ajali Nakulazwa Bugando

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu Mc Pilipili amepokewa katika kitengo cha dharura cha Hospitali ya Rufaa Bugando, Mwanza baada ya kupata ajali mkoani Shinyanga. Ofisa uhusiano wa hospitali hiyo, Lucy Joseph amethibitisha kupokewa Mc Pilipili na amesema taarifa zaidi kuhusu hali yake zitatolewa baadaye. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule akizungumzia ajali […]

Read More..