Daily Archives: September 14, 2017

Duma vs Gabo Moshi Unafuka!

Post Image

Upande wa Bongo Movie nako kunazidi kuwaka moto ambapo safari hii tena hali inazidi kuwa ya balaa juu ya uwepo wa bifu wa Mwigizaji aliyetamba na tamthiliya ya Siri ya Mtungi, Daudi Michael “Duma” pamoja na Gabo Zigamba. Kwa mujibu wa Duma anasema, Katika watu wa kwanza wanaoongoza kuharibu sanaa ya Bongo Movie ni Gabo […]

Read More..

Dimpoz Mikononi Mwa Polisi Dar Masaa Matano

Post Image

STAAA wa Bongo Fleva nchini, Ommy Nyembo aka ‘Dimpoz’, ambaye anatamba na kibao chake cha ‘Cheche, jana alikuwa kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam kunako saa tano asubuhi akiwa amesindikizwa na watu wengine wawili. Alipohojiwa na mtandao huu baada ya kutoka kituoni hapo, Dimpoz alisema: “Niliitwa kwa ajili ya mahojiano lakini mambo mengine yapo […]

Read More..

Hakimiliki Itawanufaisha Wasanii, Mapato ya...

Post Image

Ili kukidhi mahitaji ya kila siku, jitihada zinahitajika. Kila mtu anayo namna yake halali ya kumuingizia kipato. Katika harakati hizo wapo wasanii wa uigizaji, muziki au uimbaji, uchoraji, uandishi, utunzi na ubunifu tofauti. Hakimiliki ni sheria ambayo inampa msanii haki ya kumiliki kitu alichotengeneza au kubuni. Kinaweza kuwa kwenye mfumo au muonekano wa mchoro, picha, […]

Read More..

Wema Sepetu na Idris Kazi Bado Ipo

Post Image

INSTAGRAM siku hizi ndo imekuwa sehemu ya watu wengi maarufu kutolea mapovu yao mengi pengine inaweza ikawa sababu ya umaarufu wa mtandao huo na uwepo wa watu wengi wanaotumia pia. Majuzi kolabo hatari ambalo liliingia doa mapema, kati ya Idris Sultan na Wema Sepetu lilianza kuonekana tena kuanza kurudi rudi baada ya wote kwa pamoja […]

Read More..

Irene Paul: Sikuingia Kwenye Ndoa Kama Fash...

Post Image

UKITAJA waigizaji wanaojua nini wanapaswa kufanya mbele ya kamera na kuzitendea haki nafasi anazopewa kuigiza, basi huwezi kumuweka kando mwanadada Irene Paul, ambaye amecheza filamu nyingi, lakini msanii huyu alipotea kidogo baada ya kushika ujauzito ambao Mwenyezi Mungu amembariki na sasa ana mtoto wa kike, aliyempa jina la Wendo.   Staa huyo amecheza filamu kama […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Bado Ngumu

Post Image

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa kupokea ama kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji nyumbani kwa Wema Sepetu ifikapo Oktoba 4, 2017. Hatua hiyo inatokana na kuwasilishwa kwa pingamizi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutoka kwa wakili wa utetezi , Peter Kibatala, kwamba kielelezo hicho kina […]

Read More..