Daily Archives: September 16, 2017

Lady Jay Dee Shabiki Namba Moja wa Asley

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee amekiri wazi kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Aslay na huwa anamsikiliza mara kwa mara. Komando Jide katika moja ya mahojiano na kituo cha habari anasema, Aslay ndio msanii anayemkosha kwa sasa sababu ana sauti nzuri ambayo huwezi kuisikia sehemu nyingine ila kwake. “Naupenda […]

Read More..

JB Awachana Wakina Gabo na Duma

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kuwachana Gabo Zigamba pamoja na Duma kwamba njia pekee ya kufahamika ni kupitia kazi zao wanazozifanya na wala siyo masuala ya ugomvi baina yao. JB amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV, baada ya msanii Duma kutoa kauli yake iliyokuwa inamponda Gabo siku za hivi karibuni […]

Read More..

Nay wa Mitego: Dimpoz Angenigusa Mimi Pasin...

Post Image

RAPA mahiri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema endapo kitendo alichokifanya Ommy Dimpoz cha kuweka picha ya mzazi wa Diamond Platnumz kwenye Instagram yake, angefanyiwa yeye basi pangechimbika. Mitego anayefanya poa na wimbo wake mpya, ‘Makuzi’ ameliambia ShowBiz kuwa anampenda sana mama yake mzazi hivyo adui anaweza kumtukana yeye au […]

Read More..

Hamisa Mobetto na 40 ya Mwanaye

Post Image

LICHA ya kuendelea kuwaficha mashabiki baba halisi wa mtoto wake wa pili aliyemtaja kwa majina ya Abdul Nasibu, mwanamitindo, Hamisa Mobetto ameanza kufanya maandalizi ya kusherehekea siku 40 za mwanaye huyo kuzaliwa ambaye mpaka sasa hakuna aliyebahatika kuiona sura zaidi ya ndugu zake wa karibu. Katika ukurasa wa Instagram wiki hii, Mobetto amekuwa akiyanadi mavazi […]

Read More..