Daily Archives: September 19, 2017

Chuchu Hans: Sitamani Kuolewa na Ray Ng’o...

Post Image

CHUCHU Hans ni mmoja wa mastaa wa filamu ambao wanafanya vizuri kupitia tasnia hiyo na kama ukibahatika kuangalia moja ya kazi zake, utakiri niyasemayo. Pia si msanii tu wa filamu bali yupo vizuri kwenye kuigiza hata kucheza muziki mbalimbali na ndiyo maana akiwa katika mashindano ya urembo wa Miss Tanzania miaka hiyo, aliibuka mrembo mwenye […]

Read More..

Shamsa ajitosa ishu ya Hamisa na Diamond, ...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford ametia neno kile kinachoendelea kwa sasa kati ya Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto. Mapema leo hii Diamond amekiri kuwa mtoto wa Hamissa ni mwanaye licha ya kuwa katika mahusiano na Baby Mama wake, Zari The boss Lady. Katika mtandao wa Instagram Shamsa ameandika ujumbe mfupi na kueleza kuwa […]

Read More..

Richie Amgeukia Dkt Cheni na Uigizaji

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo, Rich Richie, Single Mtambalike amemtaka muigizaji wa zamani, Dkt. Cheni ambaye kwa sasa amejikita katika ushereheshaji wa shughuli , kurudi kwenye uigizaji kwani kilio chake cha soko la filamu wameshalitatua.   Akizungumza na eNewz ya EATV, Mtambalike amesema kuwa  anajua Dkt. Cheni alikata tamaa na kuendelea na kuigiza kwa sababu ya […]

Read More..

Diamond: Sitakaa niachane na Zari

Post Image

Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul  ‘Diamond Platnumz’ amekiri kuzaa mtoto na mwanamitindo Hamisa Mobeto. Amezungumza hayo leo Jumanne akifanyiwa mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha televisheni  na redio cha Clouds na kusema mtoto ‘Abdul’ ni wa kwake. “Mimba ni yangu na sitokaa nikaachana na Zari,” amesema Platnumz. Ambapo amesema amemgharamia […]

Read More..

Zari amruka Diamond, ataka asimchezee

Post Image

Dar es Salaam. Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe. Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema ameshazungumza na mpenzi wake huyo kuhusiana na mtoto aliyezaa na Hamisa na kwamba ameelewa na hakuna tatizo tena. Wakati Diamond akiendelea na mahojiano katika […]

Read More..

Diamond Platunumz afunguka mazito kuhusu mt...

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema uhusiano wake na mwanamitindo Hamisa Mobeto umeidhalilisha familia yake hasa mama yake na mzazi mwenzake Zarina Hassan, maarufu Zari. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na kituo cha Redio cha Clouds jijini Dar es Salaam leo Jumanne, Diamond amesema mama yake alitukanwa katika mitandao ya kijamii baada […]

Read More..