Daily Archives: September 23, 2017

Kajala Masanja Ashangazwa na Kiki za Kutemb...

Post Image

STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameweka wazi kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia katika maisha yake kama mtu kumbambikia kiki ambazo zinahusiana na kutembea na mume wa mtu au bwana wa mtu kwa sababu haimjengei chochote kwenye jamii zaidi ya kumuharibia. Akizungumza na mwandishi, Kajala, alisema kuna watu wengi wako […]

Read More..

Dogo Janja Amjibu Haya Young Dee (VIDEO)

Post Image

Baada ya Rappa Young Dee kuomba asifananishwe na wasanii kama Dogo Janja kutoka Arusha na Young Killer wa Mwanza, Dogo Janja amesema hawezi kumjibu msanii huyo kwani hajui kama atakuwa anamjibu mtu mwenye akili timamu au tayari amekula unga. Kupitia kipindi cha eNewz ya EATV, Dogo Janja amesema kuwa Young Dee kuomba asifananishwe na msanii […]

Read More..

Maneno Matamu 72 ya Diamond kwa Zari

Post Image

Ikiwa leo ni Birthday ya Zari The Boss Lady, Diamond amechukua muda wake na kuandika ujumbe kwa Baby Mama huyo ikiwa ni sehemu ya pongezi zake kwake. Ujumbe huo ambao ameundika katika mtandao wa Instagram amemtaja Zari kama mwanamke ambaye amekuwa naye bega kwa bega katika mafanikio yake. Uzuri na Urembo pengine ningetembea nikakuta baadhi […]

Read More..

Ua la Idris Lamtoa Machozi Wema

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo,¬†Wema Sepetu¬†ameibuka na kusema kuwa Ua alilodaiwa kumpelekea Idris ambalo si lake limemsababishia kugombana na mpenzi wake kitendo kilichomkera sana kwani hajawahi kufanya hivyo na kwa sababu hiyo alikesha akilia. Akizungumza na Risasi Jumamosi Wema, alisema kuwa pamoja ya kuwa alimuomba msamaha Idriss kwa kutokwenda kwenye shughuli yake ya uzinduzi wa […]

Read More..