-->

Daily Archives: September 28, 2017

Ommy Dimpoz Agoma Kuzungumzia Ishu ya Mama ...

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amesema hawezi  kuzungumzia ishu ya post ya mama mzazi wa Diamond katika ukurasa wake wa Instagram. Muimbaji huyo amesema kufanya hivyo ni kuamsha hisia upya kwa mambo ambayo yalishapita na hata menejimenti yake imemkataza kuzungumzia suala hilo. Katika exclusive interview na Bongo5 Ommy Dimpoz amesema asingependa kuzungumzia hayo lakini […]

Read More..

Mh. Temba Atoboa Siri ya Kuvunjika kwa Yamo...

Post Image

Msanii kutoka TMK Mh. Temba ambaye sasa hivi anaisimamia kituo cha Mkubwa na wanawe, kwa mara ya kwanza ameweka wazi sababu za ‘Yamoto Band’ kusamabaratika, baada ya kukanushwa mara nyingi na wenyewe kwa muda mrefu wakisema haijavunjika. Akipiga stori kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mheshimiwa Temba amesema majungu yaliyopikwa na watu wa nje […]

Read More..

Kitanda Changu Ndani ya Kaburi la Kanumba!

Post Image

USIKU mtulivu. Kelele za mbu nje ya chandarua walionigasi kabla sijapitiwa na usingizi mnono, sizikumbuki na sasa niko kwenye ulimwengu mwingine kabisa. Niko dunia ambayo ni vigumu kuieleza, lakini ninachokumbuka ni kwamba pembeni yangu alikuwepo mtu ambaye ametuachia pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu, Steven Charles Meshack Kusekwa Ngamba Kanumba ‘The Great Pioneer’. Amejiegemeza kwa […]

Read More..

AliKiba Amefungukia Picha Zilizozagaa Mitan...

Post Image

Dar es Salaam. BAADA ya picha kadhaa kutembea katika mitandao ya kijamii ikimuonesha AliKiba akiwa na mrembo mmoja picha ikionesha wakiwa kitandani. Watu walianza kudai kuwa mrembo huyo atakuwa mpenzi wake mpya lakini AliKiba amekanusha suala hilo na kusihi mitandao ya kijamii watu kuitumia vizuri. Baadhi ya vyanzo vinasema kuwa mrembo huyo ni Dada yake […]

Read More..