Daily Archives: October 1, 2017

Snura Atafuta wa Kumpa Mimba

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘zungusha’ amefunguka na kudai anatamani kupata ujauzito ila hamtamani atakayempa. Snura ameeleza hisia zake hizo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram asubuhi ya leo na kufanya kuwashangaza watu kwa kile alichokiandika, huku wengine […]

Read More..

Huenda Alikiba Akatoa Ngoma Muda Wowote

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Alikiba huenda akatoa ngoma mpya muda wowote. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Seduce Me katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika ujumbe ambao kwa kiasi fulani unahashiria ujio wa ngoma mpya. Ujumbe huo ambao ulilenga kumpongeza msanii mwenzake, Abby Skillz kwa kufunga ndoa uliishia kwa kudokeza […]

Read More..

Diamond Azima ‘Cheche’ ya Ommy Dimpoz

Post Image

Diamond Platnumz amedondosha nyimbo mpya akiwa na wakali wa raga kutoka Marekani, kundi la Heritage Morgan. Ngoma hiyo inayotambulika kwa jina la Halelujah imeonekana kupokelewa vyema na wadau wa muziki ambapo mpaka sasa katika mtandao wa Youtube imeweza kukusanya watazamaji zaidi ya laki tatu. Kama kawaida wengine wameanza kusema kuachiwa kwa ngoma hii ni sababu […]

Read More..

Alichokisema Prof. Jay Baada ya Nyumba Yake...

Post Image

Mbunge wa Mikumi kupitia CHADEMA ambaye pia ni msanii mkongwe wa bongo fleva Prof Jay, kwa Mara ya kwanza ametoa ya moyoni baada ya nyumba yake kubomolewa na TANROADS. wenye ukurasa wake wa instagram Prof Jay ameandika ujumbe akisema amejifunza kumshukuru Mungu, huku akuonyeshwa kushangazwa na kitendo cha serikali kutoheshimu uamuzi wa mahakama kama mhimili […]

Read More..