Daily Archives: October 3, 2017

Nay wa Mitego Afungukia Bifu la Diamond na ...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego amesema ugomvi/mvutano wa Diamond ana Alikiba haujaathiri wimbo wake hata mmoja. Nay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Makuzi ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa kipimo cha ngoma zake kufika mbali ni pale anapokuwa kwenye show au mapokezi ya watu mtaani ila mambo ya mtandaoni hayaathiri chochote. “Ni wimbo […]

Read More..

Duma Afungukia Kufanya Uchafu na Uwoya

Post Image

MUUZA nyago kwenye muvi za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ juzi kati alipobanwa juu ya kufanya uchafu na muigizaji mwenziye Irene Uwoya kwenye muvi ya Bei Kali kwa kunyonyana ndimi na midomo hadharani alisema kuwa huo si uchafu bali walikuwa kazini na walitakiwa kuonesha uhalisia zaidi.   Akipiga stori na gazeti hili, Duma aliendelea kuwa muvi […]

Read More..

Wema Sepetu Afungukia Ishu ya Umri Wake

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja […]

Read More..