Daily Archives: October 8, 2017

Rammy Galis na Rado Wametoleana Mapovu

Post Image

WAIGIZAJI wawili kutoka Bongo Muvi, Rammy Galis pamoja na Rado wametoleana mapovu mazito huku Rado akisema kuwa Ramy kwake ni msanii mdogo sana. “Kwanza Rammy amefanya filamu nje, hiyo sio Bongo Muvi hivyo mimi nafanya kitu halisia kutoka Tanzania na kingine Rammy ni msanii mdogo sana huwezi nishindanisha nae yeye ni viwango vya kina Gabo […]

Read More..

Duma: Gabo Zigamba Kabweteka

Post Image

Msanii wa filamu za bongo Duma amefunguka na kusema kuwa msanii mwenzake wa filamu za bongo, Gabo Zigamba amebweteka kwani hakuna kazi anazofanya na kusema yeye hawezi kumuamsha mtu aliyelala. uma alisema hayo siku kadhaa zilizopita wakati akizindua filamu yake ya ‘Bei kali’ na kusema kuwa wao walimualika Gabo aweze kufika kwenye uzinduzi huo lakini […]

Read More..

Alphonce Simbu ndani ya wanariadha 40, 800 ...

Post Image

Mbio za Chicago Marathon zilizofanyika nchini Marekani leo hii 8/10/2017 zimemalizika zikiwashirikisha wanariadha 40,800 kutoka nchi mbali mbali duniani akiwemo mshiriki kutoka Tanzania ndugu Alphonce Simbu ambaye alishikiri mashindano hayo makubwa duniani .   Kwa upande wa wanaume Mshindi katika Mashindano hayo alikuwa mwanariadha kutoka Marekani akifuatiwa na wanariadha wawili kutoka Kenya walioshika nafasi ya […]

Read More..

Wanafunzi wazawadia Magari baada ya kufanya...

Post Image

Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura amewazawadia magari wanafunzi wake waliohitumu Kidato cha Sita katika Shule za Sekondari Waja Girls baada ya kufanya vizuri katika masomo yao. Kutoka kwenye tovuti ya shule, zawadi imekuja baada ya wanafunzi hao kuwa katika “TOP 10” ya wanafunzi waliofanya vizuri katika kidato […]

Read More..