Daily Archives: October 12, 2017

Diamond kuingiza sokoni albamu mpya

Post Image

Mshindi wa tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki kwa miaka minne mfululizo katika tuzo za Afrimma, Diamond Platnumz ametangaza ujio wa albamu mpya aliyoipa jina la A Boy From Tandale. Hii itakuwa albamu ya tatu kwa mwanamuziki huyo, baada ya Kamwambie na Lala Salama. Taarifa zimeeleza baadhi ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye albamu hiyo ni Number […]

Read More..

Kauli ya Jaydee baada ya kupatana na FA

Post Image

Msanii Lady Jaydee ambaye hivi karibuni amepatana na aliyekuwa mhasimu wake msanii Mwana FA, amesema alishukuru sana kwa kitendo cha Mwana FA kumpa ushirikiano kwenye kazi zake na kupost Instagram kumpa promo. Akiongea  kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Lady Jaydee amesema ni jambo jema na la kumshukuru Mungu kwa wasanii wanapopeana ushirikiano. “Ni […]

Read More..

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

Post Image

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa chini ya mikono ya Mkubwa Fella kupitia Yamoto Band. Kadiri miaka ilivyozidi kusogea, imani kwa bwa’mdogo huyo ilizidi kuwa kubwa kwa mashabiki. Walioujua vizuri muziki wake waliweza kumfananisha na wasanii wakubwa tu Bongo lakini swali […]

Read More..