Daily Archives: October 21, 2017

Siataki Kulazimisha Umaarufu-Diana

Post Image

MOJA ya changamoto kubwa inayowakabili baadhi ya mastaa nchini ni kushindwa kuwa na mfumo unaoendana na nafasi zao, kisa umaarufu na kujikweza kupindukia. Lakini mwigizaji Diana Kimaro, anayeigiza filamu na Elizabeth Michael ‘Lulu’, amefichua kuwa hapendi kuanika mambo yake hadharani, akikiri ni mtihani kwake. “Sitaki kufanya ‘interview’ kwa sababu sitaki kulazimisha umaarufu, sipendi kuandikwa andikwa […]

Read More..

Baba Mzazi wa Lulu Akataa Posa ya Lulu

Post Image

Baba Mzazi wa muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, Mzee Michael Kimemeta, amekataa kupokea posa ya binti yake huyo ambaye amekuwa akiwatoa udenda wanaume wengi kwa urembo wake. Mzee Kimemeta amefunguka hayo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba hatopokea posa ya mwanaume atakayekwenda kumuoa Lulu, […]

Read More..

Mobeto: Sitaki Kufuata Maneno ya Mtandaoni

Post Image

MWANAMITINDO, Hamisa Mobeto ameibuka na kusema kuwa hataki kuyafuata maneno ya mtandaoni kwani yanaweza kumkondesha hivyo ameamua kuyatupilia mbali. Akiongea na Risasi Jumamosi, Hamisa alisema kuwa ili maisha yake yamuendee vizuri ameamua kutojali maneno ya mtandaoni kwani akiyaendekeza anaweza kujikuta anabaki mifupa na kushindwa kufanya mambo yake muhimu. “Mitandaoni kunasemwa mambo mengi na kila kukicha naandikwa tu nikisema nikomae […]

Read More..