Monthly Archives: December 2017

Dkt. Shika Afunguka Kuyatosa Matangazo, Ato...

Post Image

Dkt. Lous Shika amesema hivi sasa hataki kufanya matangazo ya biashara kama ilivyokuwa awali, akisema kwamba anahofia usalama wake. Akizungumza kwenye kipindi cha Weekend Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba iwapo ataendelea kufanya dili za matangazo itakuwa rahisi kwa watu wanaomtafuta kujua yuko wapi. “Sina interest na haya matangazo tena kwa sababu […]

Read More..

Ndoto Imetimia, Hatimaye Wolper Kufunga Ndo...

Post Image

BAADA ya kupitia misukosuko mingi katika mahusiano ya kimapenzi, malkia wa fashion na mkali wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper huenda akafunga ndoa hivi karibuni mara baada ya kuanika mipango yake ya kwenda kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi. Japo hajataja jina, Wolper ameeleza kuwa mpenzi wake huyo ameridhia suala hilo kwani naye pia alikuwa akilihitaji […]

Read More..

Kumbe Wema Mbwembwe Tu!

Post Image

MASHABIKI wa mwanadada mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Sepetu, kazi anayo. Mashabiki wake wamemjia juu baada ya kauli yake kwamba mwaka mpya utakuwa wa mafanikio kwake. Wema ambaye ni Miss Tanzania wa mwaka 2006 na pia mwigizaji wa filamu za Bongo Movie, amenangwa vikali na mashabiki hao katika mitandao ya kijamii wakisema wamechoshwa na […]

Read More..

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia...

Post Image

Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Read More..

Wolper Kaanza Kusakamwa Tena Jamani

Post Image

WANADAMU hawana dogo kwani wameanza kumsakama nyota wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, wakidai amerudia tabia ya kuvaa mavazi ya kiume ambayo yanawakera na badala yake kumtaka avae magauni marefu kwani ndio yanayompendeza. Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo. Mashabiki wake hao […]

Read More..

Huu Ndiyo Utajiri wa Ebitoke

Post Image

Msanii wa vichekesho hapa bongo Ebitoke, amesema kazi anayoifanya ya kuchekesha imempa mafanikio makubwa kwa muda mfupi, ikiwemo kumiliki mali zake mwenyewe. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kupitia sanaa hiyo ameweza kumiliki nyumba yake mwenyewe pamoja na gari ya kutembelea. “Hii kazi ninayofanya imenipa mafanikio sana, ingawa watu wananiona mpaka […]

Read More..

Flora Mvungi Atiwa Mbaroni

Post Image

Majanga ya Krismasi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia muigizaji Flora Mvungi kujikuta mikononi mwa polisi alipokuwa akisherehekea sikukuu hiyo. Mrembo huyo alipata majanga hayo akiwa na wenzake wakipata ‘masanga’ kwenye baa moja iliyopo jirani na Kituo cha Polisi cha Urafiki na ndipo askari waliokuwa doria walipowakamata na kuondoka nao hadi kituoni hapo. Awali, askari mmoja alifika […]

Read More..

Pastor Myamba Anatoa Mapepo Kanisani Kwake ...

Post Image

HISTORIA ya tasnia ya filamu imekuwa ikiendana na uhalisia wa waigizaji katika kujenga uhusika na kuwa ndio maisha halisi, ukiona muigizaji anaigiza mtu wa kaleti itakuwa hivyo, hilo linajitokeza kwa Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ ambaye naye kwa sasa pamoja na kumiliki chuo cha Sanaa sasa anamiliki kanisa lake Kigamboni. “Naamini kuigiza ni sehemu pia ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Siwezi Kuvunja Kiapo cha Kufun...

Post Image

WEMA Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuvunja kiapo alichoweka kuwa akitimiza umri wa miaka 30 bila kupata mtoto atafunga kizazi. Wema aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kuwa alitoa ahadi kuwa atakapofikisha umri wa miaka 30 bila kunasa ujauzito, basi atafunga kizazi na kwenda kuasili mtoto. “Mwaka ndiyo hivyo unaisha, lakini ahadi yangu iko palepale. Kama […]

Read More..

Sitaki Kuteseka Miye – Rose Ndauka

Post Image

ROSE Ndauka muigizaji wa filamu Bongo anasema kuwa maisha yana nafasi kubwa kwa mwanadamu na unaposhindwa kufanya hivyo lolote linaweza kutokea, endapo kuna jambo unalifanya kama ni sehemu ya kujitatua kimaisha na ugumu kutokea ni kubadilika na kuangalia njia nyingine itakayokusaidia. “Maisha yana nafasi nyingi za kukufanya ufanikiwe ili ndoto zako zifikie usipende kung’ang’ania vitu […]

Read More..

Kwaheri mwaka 2017 karibu 2018

Post Image

MWAKA 2017 ulikuwa mpya, sasa umekatika tukisubiria mwaka mwingine mpya 2018 zikiwa zimebaki siku nne tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka […]

Read More..

Uwoya Amponza Shamsa

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo kumzidi mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya. Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala […]

Read More..

Harmorapa Aendelea Kunganda Wema

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu ili aweze kumpata mrembo huyo. Harmorapa akipiga stori kwenye kipindi cha eNewz cha EATV amedai kuwa baada ya kuhangaika kwa marafiki zake Wema Sepetu […]

Read More..

Style mpya ya mbunge, mnakutana kijiweni un...

Post Image

Mbunge wa Nyamagana Mwanza Stanslaus Mabula ameamua kutumia style ya kipekee kukutana na wananchi wake kwenye kijiwe cha kahawa Mabatini Mwanza na kujibu maswali ya ahadi zake kwa miaka miwili tangu awe Mbunge.

Read More..

Staa wa Arsenal amefunguka linamjia wazo la...

Post Image

Moja kati ya habari kubwa zinazochukua headlines kwa sasa katika upande wa michezo ni kuhusiana na stori ya staa wa soka wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya kama Arsenal na Galatasaray ya Uturuki Emmanuel Eboue

Read More..

VideoMPYA: Joh Makini ameiachia zawadi ya X...

Mkali wa Hip Hop kutoka Weusi Kampuni Joh Makini amaeamua kuachia video mpya inayoitwa ‘Mipaka’ kama zawadi ya Xmass kwa mashabiki wake, tazama video yake na usiache kulike video hii ilijohn Makini apete kujua mashabiki wake wameupenda mwimbo wake  

Read More..

Yaliyobamba, kutikisa 2017

Post Image

MASHABIKI wa burudani na sanaa nchini wanahesabu siku tu kabla ya kuuaga rasmi Mwaka 2017 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2018. Hesabu zinaonyesha zimesalia siku 9 tu ambazo ni sawa na saa 216 kabla mwaka haujakatika. Lakini mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, kuna mambo mengi yaliyojiri yatakayokumbukwa ambayo baadhi yalikuwa ya furaha, mengine ya huzuni na […]

Read More..

Mashindano ya Miss Tanzania Yafutwa Rasmi

Post Image

WAANDAAJI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited,  wamesema  kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2017. Katika taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo jana imeeleza kuwa sababu kubwa ya kuahirishwa kwa shindano hilo ni ukosefu wa Wadhamini ambao kwa njia moja au nyingine huwezesha kufanyika […]

Read More..