Daily Archives: December 5, 2017

Riyama Kuja na Bonge la ‘Surprise’

Post Image

MSANII wa filamu Tanzania, Riyama Ally, amesema atahakikisha anawafanyia ‘surprise’ ya kufunga mwaka mashabiki zake kwa kuachia filamu mbili matata. Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama, alisema amejipanga kikamilifu kabla ya mwezi huu kumalizika kuwapa zawadi hizo mashabiki zake ambazo anaamini zitakuwa za kitofauti na walivyozoea. “Nimeamua kuwafanyia ‘surprise’ mashabiki zangu kwani bila wao mimi si […]

Read More..

Unene Wamzingua Aunty Ezekiel

Post Image

MWIGIZAJI wa kike wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amedai hakuna kitu ambacho hakipendi kama kuwa kibonge, akisema anaponenepa kila anapojiangalia hujichukia kwani hukerwa na unene. “Mimi sipendi kabisa unene ninaponenepa hujiona mbaya kwani unajikuta hadi uso unakuwa wa mviringo hivi, yaani unabadilika kabisa na kuwa tofauti kama awali. Hivyo kulazimika kufanya mazoezi kwa fujo au […]

Read More..