Daily Archives: December 9, 2017

Barnaba: Bado nampenda mke wangu

Post Image

KUNA wasanii na wanamuziki. Wasanii ni wale ambao wanaweza kuifanya kazi yao kuwa sanaa na kuwapatia fedha. Kwenye kuimba wanaweza kuwa siyo wazuri sana. Wanamuziki ni wale wanaojua kuimba. Wanafahamu ala za muziki, wanatengeneza mahadhi ya muziki wenyewe na kuimba kwa mvuto wa kipekee. Kwa wale wa Bongo Fleva, kuna mtu anaitwa Barnaba. Huyu ni […]

Read More..

Babu Seya na Papii Kocha Waachiwa Huru Jion...

Post Image

Wanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe Johnson Nguza (Papii Kocha) wametoka jioni hii katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam na kulakiwa na familia na mashabiki wao. Taarifa zaidi baadaye. Mapema leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, alitangaza msamaha kwa wafungwa wakiwemo Nguza Viking maarufu kama Babu […]

Read More..