Daily Archives: January 1, 2018

Mwigizaji Johari Kuokoka!

Post Image

  MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu, ikiwa ni pamoja na kuachana na maisha ya ajabu kama matumizi ya pombe. Johari aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amebaini maisha ni mafupi duniani hivyo ni vyema kujisafishia njia na kumrudia Mungu ambaye ndiye mwokozi […]

Read More..

Siku Ya Leo Jinsi Ilivyokumbukwa na Wastara

Post Image

Kwa upande wa muigizaji Wastara Juma yeye amesema huwa anaitumia siku ya leo kwa kuangalia picha za aliyekuwa mume wake Sajuki Kilowoko amabaye alifariki  January 2, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika ukurasa wake wa Instagram Wastara ameandika “Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya […]

Read More..

Uwoya Hawezi Kuusahau 2017

Post Image

STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa, hawezi kuusahau mwaka uliomalizika jana wa 2017 kutokana na kukumbana na vitu vingi maishani kuliko kipindi kingine chochote. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Uwoya aliweka wazi kuwa, katika maisha ya mwanadamu, lazima kuna mwaka ambao kuna jambo zuri au baya ambalo humtokea mtu hivyo […]

Read More..