Daily Archives: January 8, 2018

Kajala Atoa Tamko Rasmi la Ndoa Yake

Post Image

SUPASTAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ametoa tamko rasmi kuhusu ndoa yake na mumewe, Faraji Chambo akisema kuwa hana mpango wa kurudi tena kwenye ndoa hiyo kwa kuwa hata mumewe huyo alipotoka gerezani hakuwa na muda wa kumtafuta yeye kama mkewe. Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kama mume, ni lazima angefanya taratibu za […]

Read More..

Hatimaye Mashabiki na Wapenzi wa Lulu Kuanz...

Post Image

Zikiwa zimepita siku 54 tangu muigizaji wa filamu bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, sasa mashabiki wake wataanza tena kumuona kupitia tamthiliya ya Sarafu inayotarajiwa kuanza kurushwa kuanzia Januari 10 siku ya Jumatano. Sarafu ni moja ya tamthiliya zitakazoonyeshwa katika king’amuzi cha DSTV kupitia chanel yao ya Maisha Magic Bongo ambapo […]

Read More..

Nina Mvuto Bongo Movie Wajipange- Pretty Ki...

Post Image

MSANII chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo Susan Michael ‘Pretty Kind’ ametamba kwa kuwaeleza kuwa wasanii wa kike wajipange kwani amefungua mwaka kwa kuingia katika tasnia hiyo akiwa na vitu muhimu ambavyo anaamini atawafunika na kuwa muigizaji wa kike pekee mwenye mvuto na muigizaji bora. “Sijaingia katika fani ya kuigiza kwa kukurupuka no nimeangalia vitu […]

Read More..

Msanii Suzan Michael maarufu kama Pretty Ki...

Post Image

Msanii filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka na kuomba radhi kwa Serikali na Watanzania kwa ujumla kutokana na vitendo vyake vya kupiga na kuweka picha mitandaoni za nusu uchi. Akiongea jana na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungiwa na serikali kujihusisha kufanya kazi zozote za sanaa kwa miezi […]

Read More..

Ushoga Huu wa Aunt Ezekiel na Shamsa Ford W...

Post Image

USHOSTI uliochipuka na kukolea hivi karibuni wa mastaa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel, umeibua mambo huku wengi wakihoji ulikoanzia kwa sababu haukuwahi kuwepo na kwamba hawaendani. Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, mastaa hao walisema kuwa, wanashangazwa na watu wanaohoji urafiki wao huo ulianza lini na wengine wakisema hawapendezani ambapo […]

Read More..

Gigy Money atoa machozi baada yakutoka BASA...

Post Image

Leo january 08,2018 baada ya kutoka basata Giggy. chanzo: millardayo

Read More..

Mafuriko Yasababisha Kufungwa kwa Barabara ...

Post Image

Kufuatia kujaa maji juu ya daraja la Mto Msimbazi kwenye Barabara ya Morogoro na kusababishwa kufungwa kwa muda kwa barabara hiyo, Kamapuni inayotoa huduma katika mradi wa Mabasi yaendayo haraka jijini Dra es Salaam, UDA Rapid Transit (UDART) inauarifu umma kuwa huduma za mabasi hayo zimesitishwa kwa muda kuanzia saa 3:00 asubuhi ya Januari 08, […]

Read More..

Wanapenda Kuona Mauno Yangu Kama Nini- Snur...

Post Image

Mwanamuziki Snura Mushi ‘ SnuSexy’ yeye amekiri kwamba tayari alikwisha jipanga kukabiliana na mabadiliko ya serikali haswa katika kuzingatia sheria za mavazi pamoja na maneno kwenye nyimbo zake baada ya kuletewa shida kwenye wimbo wake wa Majanga. Akizungumza na www.eatv.tv Snura amesema kwamba ameamua kubadilika na jinsi sheria inavyotaka ndiyo maana kuanzia video zake mpaka […]

Read More..

Gigy Money ameripoti BASATA na ni Mjamzito

Post Image

Baada ya msanii Gigi money kusikia anaitwa na Naibu Waziri wa habari, utamaduni, sanaa za michezo JULIANA SHONZA akaamua kuposti kwa kumjibu naibu waziri na basata   Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake  mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta ,  January 8 2018 nimezinasa Picha […]

Read More..