Daily Archives: January 9, 2018

Batuli Afunguka Kuhusu Picha za Utupu

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph, Batuli’ amesimama na kutaka watu waiheshimu sanaa ya Tanzania na kuwatetea wasanii kwamba hawahusiki na suala la upigaji picha za utupu isipokuwa watu wachache waliojipenyeza kwa staili ya picha. Batuli ametoa kauli hiyo kipindi hiki ambacho wasanii wa magizo na muziki wamekuwa wakinyooshewa vidole na serikali kwa kuvaa mavazi […]

Read More..

Baba Uwoya amgomea Janjaro

Post Image

MZEE kaamua kukausha tu, sio kwamba hasikii blabla zenu mnazochonga juu ya bintie Irene Uwoya. Lakini kubwa ni kwamba ameikataa ndoa ya bintie huyo dhidi ya mkali wa muziki wa kizazi kipya hasa ule wa kufokafoka, Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ a.k.a Janjaro, akidai haitambui japo anatafuta nafasi ili ajue ukweli ulivyo. Ndio, Baba mzazi wa […]

Read More..

Wastara wa Sajuki Anahitaji Shilingi Milion...

Post Image

MSANII wa Bongo Movie, Wastara Issa, anahitaji msaada wa kiasi cha Sh 37 mil ili akapatiwe matibabu nchini India, lakini mpaka sasa hakuna hata msanii mwenzake aliyekwenda kumjulia hali. Wastara alikuwa mke wa marehemu, Sajuki Juma aliyefariki miaka mitano iliyopita kutokana na tatizo la mfuko wa chakula na alikuwa pia ni muigizaji. Amesema, anahitaji kiasi […]

Read More..

Chidi Benz Akamatwa Tena na Madawa Dodoma

Post Image

Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro ‘Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili. Akithibitisha taarifa hizo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP, Giless Muroto amesema kwamba ni kweli […]

Read More..