Daily Archives: January 10, 2018

Idris Sultan Ana Utani na Jack Wolper!

Post Image

IDRIS Sultan muigizaji wa filamu na mchekeshaji mahiri katika masuala ya komedi ametoa kali ya mwaka pale alipojaribu kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya akimzodoa muigizaji mwenzake katika tasnia ya filamu swahilihood Jack Wolper kwa kumwambia kuwa msanii huyo wa kike kwa mwaka huu amefunga mwaka kwa kutendwa na wanaume. “Kiukweli inatia huruma sana ninapokutana […]

Read More..

Joh Makini Afunguka Uhusiano Wake wa Kimape...

Post Image

Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya ‘Mipaka’ Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii Vanesa Mdee. Joh Makini amepangua tetesi hizo kwenye Friday Night Live ya EATV ambapo amesema kwamba tetesi hizo hazina ukweli wowote na kwamba yeye anamchukulia Mimi Mars […]

Read More..

Mtwara Wakesha Wakinywa Uji kwa Kutekeleza ...

Post Image

Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya wakazi wa maeneo mbalimbali mkoani Mtwara na maeneo mengine ya mikoa ya jirani wamejikuta wakikesha nje ya nyumba zao usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2018, wakipika na kunywa uji utokanao na unga wa muhogo. Wakazi hao wamedai kuwa wanatekeleza agizo la mtoto mdogo aliyezaliwa katika kijiji cha […]

Read More..

Nisha: Sina Mpango wa Kuzaa kwa Sasa

Post Image

MWIGIZAJI wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’, amefunguka kuwa kwa sasa hana mpango wa kuzaa tena kwa sababu ya kumpa malezi bora mwanaye aliyenaye. Full Shangwe ilizungumza na Nisha ambaye alikuwa kwenye harakati za kumpeleka mtoto wake wa kike shuleni na kusema; “Sijafikiria kuzaa mtoto mwingine kwa sasa, acha kwanza mwanangu nimpe malezi bora, […]

Read More..