Daily Archives: January 11, 2018

Harmorapa Hajapokea Pesa Yoyote Katika Dili...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Harmorapa amedai kuwa hajapokea pesa yoyote katika dili la kinywaji cha Swala tokea alipotangazwa Machi 26 mwaka 2017 kuwa balozi wa kinywaji hicho. Akiongea na Bongo5, mkali huyo ameeleza kuwa hata yeye amesikia tetesi tu kuwa alilipwa milioni 100 licha ya kuwa hajapokea pesa hizo. “Kwanza nizungumzia Kenya au sio, kwanza […]

Read More..

Lava Lava: Nipo Single Mwanamke Mzuri Ajito...

Post Image

Msanii kutokea kundi la WCB Lavalava  alipoulizwa kama ana mpenzi na kwa nini hajawahi kumuweka hadharani haya yalikuwa majibu yake, “hilo swali ninaulizwa mara sabini na watu jamani kama kuna mwanamke mzuri ananiona aje mimi nipo single sina wakumtangaza” Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya upendeleo yanayodaiwa kuwepo katika record label ya WCB ambapo majibu […]

Read More..

Joh Makini Afungukia Ishu Yake na Mimi Mars

Post Image

RAPA anayetamba na ngoma ya Mipaka, Joh Makini amepangua tetesi zilizosambaa katika mitandao mbalimbali zikimuhusisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa Vanessa Mdee, Mimi Mars.   Joh Makini amesema anashangaa taarifa hizo na kufafanua hakuna ukweli wowote kwa sababu Mimi Mars kwake ni sawa na mdogo wake. “A Big No, Mimi Mars ni […]

Read More..

Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu,...

Post Image

Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatano kuendelea mpaka tarehe 8, Februali mwaka huu. Katika kesi hiyo iliyokuwa inaendelea katika Mahakama hiyo. Mahakama imepokea barua mbili kutoka Wakili wa Malkia huyo, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili […]

Read More..