-->

Daily Archives: January 22, 2018

Ronaldo Apasuliwa Uso, Madrid Ikishinda 7-1

Post Image

LICHA ya ushindi wa bao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, wa Kimataifa Raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alikutana na dhoruba baada ya kuumia kwa kupasuka usoni. Ronaldo aliumia kwa kuchanipa sehemu ya usoni baada ya kugongwa wakati akijaribu kufunga. Alikuwa ameruka kichwa kwa lengo la kufunga […]

Read More..

DIAMOND PLATNUMZ: Rwanda ni Nyumbani pia.

Post Image

Msaani Naseeb Abdul Juma aka DIAMOND PLATNUMZ alihojiwa hivi karibuni kwenye luninga ya Rwanda (Exclusive Interview) RTV na akawamwagia sifa Kem Kem Mashabiki zake kutoka Rwanda kwa jinsi wanavyompa support katika kazi zake ya Kisanii na pia ununuzi wa bidhaa zake. Alisema ” Rwanda is my Second Home ” akiwa anamaanisha Rwanda ni Nyumbani kwake pia. […]

Read More..

Natasha alivyojigeuza kioo cha Monalisa

Post Image

Hivi sasa wanawake wengi wamekuwa wakiogopa kuwaruhusu watoto wao hususani wa kike kuingia katika sanaa kutokana na namna wanavyobadilika kitabia wanapokuwa ndani ya ya tasnia hiyo. Pamoja na uoga huo, kwa Suzan Lewis maarufu kwa jina la Natasha, hakuhofia hilo na kumruhusu mwanae Yvonne Cherry ‘Monalisa’ kuingia ndani ya fani hiyo iliyojaa mitihani kibao kwa […]

Read More..

Harmorapa Aibuka, Aahidi Kuja na Drama Zaid...

Post Image

Dar es Salaam. Baada kuwa kimya kirefu msanii Harmorapa aemeibuka na kusema mashabiki wake watarajie drama zaidi ya zile za mwaka jana. Msanii huyo asiyeishiwa vituko, alikuja juu kipindi cha mwaka jana baada ya kufananishwa na msanii anayefanya vizuri katika muziki wa bongofleva Harmonize anayemilikiwa na kundi la wasafi. Akizungumza na Mwananchi jana Ijumaa, Harmorapa […]

Read More..

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana( Jumapili) alikwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali. Mh.Waziri Mwakyembe ambaye aliambata na Katibu wa Bodi ya Filamu walifika nyumbani kwa muigizaji huyo kwa ajili ya kumjulia hali ambapo Waziri huyo aliahidi kumsaidia kiasi cha shilingi milioni. […]

Read More..