-->

Monthly Archives: February 2018

Diana Ajipanga Kumuombea Lulu

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Diana Kimari, amesema anajipanga kwenda Gereza la Segerea jijini Dar kumuombea aliyekuwa swahiba wake, Elizabeth Maichael ‘Lulu’ anayetumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba. Akizungumza na gazeti hili, Diana alisema kuwa, zaidi ya mara tatu alishajipanga kwenda gerezani kumuona lakini hakuweza […]

Read More..

Uganga Basi – Mzee Majuto

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka na kuweka wazi kwamba sinema ndio kitu pekee kinachomfanya aweze kutamba mjini ‘kuishi’ huku akidai ana kazi nane ameshazifanya ameziweka ndani tu, na uganga basi ndio imetoka. Mzee Majuto amesema hayo wakati alipokuwa akipiga stori mbili tatu alipotembelewa na wasanii wenzake Jacob Stephen ‘JB’ pamoja na Single Mtambalike […]

Read More..

Siyo Siri Hata Steve Nyerere Amechoka!

Post Image

KOMEDIANI wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anaamini kuwa, soko la sinema za Kibongo haliwezi kubadilika kama sura za waigizaji ni zilezile za kila siku ambazo hata yeye amezichoka. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Steve alisema kuwa, kama kila mtu anapotazama sinema anakutana na sura ya Kajala Masanja, Shamsa Ford, Aunt Ezekiel na wengine, watu wanachoka na […]

Read More..

VIDEOMPYA: Witnesz “Kwani Shngapi”

Post Image

Leo February 19,2o18 msanii Witnesz “Kibonge mwepesi” ametuletea  Video ya wimbo wake mpya “Kwani shngapi” ikiwa ni ngoma ambayo amesimama mwenyewe. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

Read More..

Kuolewa na Kuoa ni Ufungwa – Rayuu

Post Image

MUIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo movie Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amedai kuwa maisha ya ndoa yanahitaji umakini mkubwa sana na kabla ya mtu kuingia katika uhusiano hadi kufikia watu kuoana lazima kuwe na utulivu mkubwa sana kwani moja ya changamoto kubwa ni mama wakwe na mawifi. “Kuolewa au kuoa ni ufungwa kuna wakati […]

Read More..

AUDIO MPYA: Rayvanny , Jason derulo na Fren...

Post Image

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwa mwaka 2017 ni pamoja na msanii kutokea WCB Rayvanny kutangaza kuwa ameshirikishwa katika ngoma moja na msanii kutokea pande za Marekani Jason Derulo. Usiku wa February 19 2018 audio ya ngoma hiyo imetoka rasmi ndani ya ngoma hiyo wakiwa wameshirikishwa Rayvanny wa WCB na mkali French Montana, goma yenyewe inaitwa Tip Toe Remix.

Read More..

Nandy alivyouvaa uhusika katika Subalkheri ...

Post Image

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa kike hapa kujipamba wakati wa kutengeneza video zao kwa mapambo ya kila aina ikiwamo vipodozi. Hali hiyo inafanya wengine hata kusahaulika sura zao halisi, hasa pale wanapozidisha mapambo hiyo ikiwemo kubadili nywele zao kwa kuvaa za bandia. Lakini kwa Nandy ambaye jina lake halisi Faustina Charles naona hali […]

Read More..

Vanessa Mdee anaikubali couple ya P Diddy n...

Post Image

muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa. kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu” Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali […]

Read More..

Wolper Atoboa Hii Kuhusu Wanaume wa Kikongo

Post Image

MUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper ‘Jack’ anasema kuwa amewashitukia wanaume si wakuiwategeemea kwa maisha endelevu kwani unaweza kupotea ukaamini unapendwa kumbe yupo naye kikazi, hivyo akili yake anawekeza katika mambo yake ya kibiashara ni kujitaidi kuwa mbunifu . Kuna wanaume wanajua kusifia hasa ukimpata mwanaume wa Kikongo unahisi dunia yote ni mali […]

Read More..

Hukumu kesi ya Masogange Februari 21

Post Image

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Februari 21,2018 itatoa hukumu kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili msanii, Agnes Gerald maarufu Masogange. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na hakimu mkazi mkuu, Wilbard Mashauri baada ya upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili Costantine Kakula kuwaita mashahidi watatu kutoa ushahidi dhidi ya Masogange na kuufunga […]

Read More..

Riyama Awatolea Povu Hawa

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Riyama Ally amedai kukerwa na tabia za baadhi ya watayarishaji na wasambazaji wanaomtumia katika kazi zao kibabaishaji na kumharibia jina lake. Alisema ametengeneza jina lake kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu, kitendo ambacho kinamvunja moyo kuona watu wanaliharibu kirahisi. “Mtu anasema dada yangu naomba unisapoti katika kazi yangu, uso umeumbwa […]

Read More..

BreakingNews: Zari na Diamond wameachana!

Post Image

Zarinah Hassan anayejulikana kama “Zari the boss lady” ametangaza rasmi kuwa amemuacha msaani maarufu  Nasibu Abdul anayejulikana “Diamond platnumz”. Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano   MANENO ALIYOANDIKA ZARI KUPITIA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM   “Understand that this is […]

Read More..

Sipendi mwanaume mfupi -Tausi Mdegela

Post Image

Msanii wa filamu nchini Tanzania na kipenzi cha watoto, Tausi Mdegela amefunguka na kudai urefu wa muimbaji wa taarabu Prince Amigo ndio kitu pekee kilichoweza kumchanganya mpaka kufikia hatua ya yeye kukubali kuolewa mke wa pili. Tausi amebainisha hayo kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kwenye ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano […]

Read More..

Zari saa chache baada ya picha ya Hamisa na...

Post Image

Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa picha za official videographer wa Diamond Platnumz ambaye ni Lukamba kusambaa kwa picha mtandaoni akiwa na Hamisa. Kitendo cha Lukamba kuonekana kumfanyia photoshoot Hamisa kimeanza kuhusishwa kuwa Diamond na Hamisa wapo sawa kwa sasa ndio maana Lukamba ameonekana […]

Read More..

VideoMPYA: Saida Karoli kwenye “Akatambal...

Post Image

February 12,2018 msanii mkongwe katika game ya muziki nchini Saida Karoli anakuletea video ya wimbo wake mpya “Akatambala” akiwa ndani kamshirikisha Hanson Bariluno kutokea Uganda.

Read More..

VideoMPYA: Beka Flavour anakualika kuipokea...

Post Image

Tukielekea kwenye msimu wa Valentine msanii wa Bongo Fleva Beka Flavour anakuletea hii video mpya ya kuitazama “Kibenten”. Usisahau kuweka comments yako baada ya kuitazama

Read More..

VideoMpya: Christian Bella yupo na Malaika ...

Post Image

February 12, 2018 Karibu uweze kuitazama Video Mpya ya Christian Bella yupo pamoja na Malaika Bandwimbo unaitwa ‘Rudi’, itazame kwa kubonyeza PLAY hapa chini.  

Read More..

VideoMpya: ‘Asali’ ya Chemical amemshir...

Post Image

February 11, 2018 nakusogezea Video Mpya ya Chemical akiwa amemshirikisha Beka Flavour wimbo unaitwa ‘Asali’. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama. Pia usisahau kuweka comment yako ili Chemical akipita aweze soma maoni yako juu ya Video yake.

Read More..