-->

Afande Sele Awapa Makavu Wasanii Hawa

Msanii mkongwe wa bongo fleva, Afande Sele ameongea na Enews na kuongelea swala la wasanii wengi wa kitanzania ‘kufeki’ maisha yao halisi ikiwemo kubadili hata rangi za ngozi zao na kujiongezea weupe na wakati mwingine hata kubadilisha asili yao.

afande789

Hata hivyo Afande Sele amesema ni kutokana na uelewa wao kuwa mdogo kwa kuwa kubadilisha muonekano hakuchangii kazi anayofanya msanii kuwa bora, bali ubora wa kazi yenyewe ya sanaa ni kutokana na ubunifu na utofauti katika kazi.

Afande sele amewataja baadhi tu ya wasanii wa kiafrika ambao wamefanya vizuri kimataifa kama kina MIRIAM MAKEBA, MADONA na wengine wengi bila kujibadilisha wala kuongeza kitu chochote katika ngozi zao au mionekano yao.

Afande amemaliza kwa kuwasihi wasanii wenzake kupunguza kufeki maisha yao.

Eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364