Category Archives: BongoFleva

DIAMOND PLATNUMZ: Rwanda ni Nyumbani pia.

Post Image

Msaani Naseeb Abdul Juma aka DIAMOND PLATNUMZ alihojiwa hivi karibuni kwenye luninga ya Rwanda (Exclusive Interview) RTV na akawamwagia sifa Kem Kem Mashabiki zake kutoka Rwanda kwa jinsi wanavyompa support katika kazi zake ya Kisanii na pia ununuzi wa bidhaa zake. Alisema ” Rwanda is my Second Home ” akiwa anamaanisha Rwanda ni Nyumbani kwake pia. […]

Read More..

Harmorapa Aibuka, Aahidi Kuja na Drama Zaid...

Post Image

Dar es Salaam. Baada kuwa kimya kirefu msanii Harmorapa aemeibuka na kusema mashabiki wake watarajie drama zaidi ya zile za mwaka jana. Msanii huyo asiyeishiwa vituko, alikuja juu kipindi cha mwaka jana baada ya kufananishwa na msanii anayefanya vizuri katika muziki wa bongofleva Harmonize anayemilikiwa na kundi la wasafi. Akizungumza na Mwananchi jana Ijumaa, Harmorapa […]

Read More..

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record...

Post Image

January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake  Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo na alinunua CD 25. Jux amesema kuwa amenunua CD 25 nyingine atawapa mashabiki wake lakini pia amefanya hivyo kwa ajili ya kumsupport Vanessa Mdee, msikilize […]

Read More..

Msanii Engine Atoboa Siri ya Kumchukua Wolp...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Engine ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kumng’oa Jackline Wolper na kumuweka ndani, ameweka wazi sababu za kuamua kumtumia msanii huyo kwenye kazi yake. Akizungumza kwenye Friday Night Live Engine amesema Wolper ni miongoni mwa wanawake wachache Tanzania wanaojitambua, na ndio sababu iliyomfanya asifikirie mara mbili kumfuata. “Wolper […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Ishu Yake na Nini

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema jambo lolote linaweza kutokea kati yake na msanii Nini, ingawa kwa sasa hawana mahusiano.   Akizungumza na EATV Nay amesema kitu kilichopo kati yake na Nini kwa sasa ni kazi tu, lakini haitakuwa kitu cha ajabu iwao lolote likitokea baina yao. “Mimi […]

Read More..

Fid Q Amweka Hadharani Mpenzi Wake

Post Image

RAPA Fareed Kubanda ‘Fid Q’ ameamua kujilipua kwa kumweka hadharani mpenzi wake mapema katikati ya wiki hii kupitia ukurasa wake wa Instagram. Katika kile kinachoonekana kufuata nyayo za washkaji zake, FA na AY walioamua kuwaweka hadharani wapenzi wao, Fid Q ameonekana kujiachia na mpenzi wake huyo kwa kupiga selfie kwa kujiachia. Moja ya picha zilizotikisa […]

Read More..

“Lau Nafasi” ni VideoMpya kutok...

Post Image

Video Mpya ya 2018 kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye leo January 13, 2018 kaamua kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Lau Nafasi” .Bofya hapa chini kuitazama vidoe yake. Una comments zozote kama mshabiki wake? Uwanja ni wa kwako.

Read More..

Joh Makini Afungukia Ishu Yake na Mimi Mars

Post Image

RAPA anayetamba na ngoma ya Mipaka, Joh Makini amepangua tetesi zilizosambaa katika mitandao mbalimbali zikimuhusisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdogo wa Vanessa Mdee, Mimi Mars.   Joh Makini amesema anashangaa taarifa hizo na kufafanua hakuna ukweli wowote kwa sababu Mimi Mars kwake ni sawa na mdogo wake. “A Big No, Mimi Mars ni […]

Read More..

Baba Uwoya amgomea Janjaro

Post Image

MZEE kaamua kukausha tu, sio kwamba hasikii blabla zenu mnazochonga juu ya bintie Irene Uwoya. Lakini kubwa ni kwamba ameikataa ndoa ya bintie huyo dhidi ya mkali wa muziki wa kizazi kipya hasa ule wa kufokafoka, Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ a.k.a Janjaro, akidai haitambui japo anatafuta nafasi ili ajue ukweli ulivyo. Ndio, Baba mzazi wa […]

Read More..

Chidi Benz Akamatwa Tena na Madawa Dodoma

Post Image

Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro ‘Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili. Akithibitisha taarifa hizo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP, Giless Muroto amesema kwamba ni kweli […]

Read More..

Wimbo wa “Papa” wa Gigy waibukia mkutano!

Post Image

Wimbo wa Papa ulioimbwa na msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ na ule wa Wowowo ulioimbwa na Zaiid Yao, umeibua mjadala katika kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe na viongozi wa vyama na mashirikisho ya wasanii. Leo Ijumaa, Waziri Mwakyembe alikutana na viongozi kwa ajili kujadili suala la maadili ya […]

Read More..

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia...

Post Image

Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Read More..

Kwaheri mwaka 2017 karibu 2018

Post Image

MWAKA 2017 ulikuwa mpya, sasa umekatika tukisubiria mwaka mwingine mpya 2018 zikiwa zimebaki siku nne tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka […]

Read More..

Harmorapa Aendelea Kunganda Wema

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu ili aweze kumpata mrembo huyo. Harmorapa akipiga stori kwenye kipindi cha eNewz cha EATV amedai kuwa baada ya kuhangaika kwa marafiki zake Wema Sepetu […]

Read More..

Shilole Soon Kumzalia Uchebe Kidume!

Post Image

STAA wa Muziki wa Mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, kwenye ndoa yake aliyofunga hivi karibuni, atamzalia mumewe, Ashiraf Uchebe mtoto mmoja wa kiume. Akizungumza na Star Mix, Shilole au Shishi Trump alisema, hawezi kusema kuwa hatazaa wakati tayari yupo ndani ya ndoa. “Natarajia kumzalia mume wangu kidume mmoja maana siwezi kuwa kwenye […]

Read More..

Shilole Awajibu Wanaoiponda Ndoa Yake

Post Image

MSANII wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka na kusema wanaoiponda ndoa yake kwenye mitandao ya kijamii wana chuki binafsi. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema tangu afunge ndoa na mpenzi wake Uchebe, kumezagaa maneno ya majungu kitu ambacho hakiwezi kumkatisha tamaa na anaamini ndoa yake itadumu. “Mfa maji aishi kutapatapa, ndoa yangu imewaumiza […]

Read More..

Shilole Atoboa Siri ya Kuolewa Kimya Kimya

Post Image

Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata  kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na ‘husda’ nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya. Shilole alitoa ahadi kuwa atafunga ndoa  kabla ya mwaka huu kuisha na kuwahaidi  mashabiki wake kuwa atawatangazia siku ya ndoa yake lakini […]

Read More..

Nimepata Gauni la Harusi Bado Mume Tu- Taus...

Post Image

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Tausi Mdegela amefunguka kwa kusema kuwa anatamani sana kuvaa gauni la harusi kwa muda mrefu na hatimaye ametimiza shauku yake baada ya kufanikiwa gauni hilo na kuliweka ndani kwake ni ishara njema siku yoyote akipata mume mwenye mapenzi atalivaa na kutimiza ndoto zake. “Jambo jema unalitafutia njia mwenyewe maana kuna watu […]

Read More..