Category Archives: BongoFleva

Jokate Aendelea Kumkomalia Q Chief

Post Image

Mwanamitindo na msanii wa muziki Jokate Mwegelo amemkazia msanii Q Chief na kuhitaji pesa nyingi ili yeye aweze kushiriki kama video queen katika video mpya ya Q Chief ambayo inatarajiwa kutoka siku za usoni. Kupitia eNewz Q Chief anasema kuwa anavutiwa sana na msanii huyo kiasi cha yeye kumuimba kwenye wimbo wake mpya na alitamani […]

Read More..

INABAMBA-SIBUKA MAISHA,Chaneli ya Filamu za...

Post Image

INABAMBA-SIBUKA MAISHA ni Chaneli ya filamu za Kibongo, inayoonesha movie kali za muda wote mpya zinazotoka…ni hatua nzuri katika kukuza tasnia ya filamu.

Read More..

Peter Msechu Alia Ukata

Post Image

Msanii Peter Msechu ambaye mara nyingi amekuwa akilalamikia hali ya ukata katika maisha yake, leo amefunguka tena na kusema kuwa yupo tayari hata kufanya show ya kuwaimbia kuku, ili mradi aingize pesa. Kitendo hicho kimeongeza mashaka juu ya mkwanja wanaoingiza wasanii, mpaka kufikia hali mbaya kiuchumi. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, Peter […]

Read More..

Malaika Afungukia Alivyoingizwa Mjini China

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Malaika Exervery amesema katika vitu ambavyo haviwezi kutoweka kichwani mwake ni pamoja na kutapeliwa wakati alipoingia nchini China kwa mara ya kwanza kwenye Jiji la Hong Kong. Akizunguza na Juma3tata, Malaika anasema kuwa tukio la yeye kuingizwa mjini lilitokea mara baada ya yeye kuwekwa kuzuizini kwenye uwanja wa ndege kwa saa […]

Read More..

Mr.Blue: Mboga 7 Imenipa Heshima Kwenye Hip...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Herry Sameer ‘Mr Blue’ anayetesa kwa sasa na wimbo wake wa Mboga Saba aliomshirikisha nguli mwingine kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva Ali Kiba, amefunguka na kuelezea hisia zake za moyoni kuhusu wimbo wake huo ulio kwenye mtindo wa Hip hop. Mr Blue kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika […]

Read More..

Album ya Diamond Kupatikana Duniani Kote

Post Image

Msanii Diamond Plutnumz ambaye yuko kwenye mikakati ya kutoa albam yake itakayouzwa kimataifa, ameweka wazi mikakati yake ya kuisambaza album hiyo, ili iweze kupatikana duniani kote. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema mwanzo alikuwa hajafanikiwa kutoa albam kwani alikuwa anaangalia soko jinsi lilivyo, na aljikita zaidi kwenye mitandao ili kujitambulisha zaidi, lakini […]

Read More..

Nay wa Mitego Afunguliwa Kifungo na BASATA

Post Image

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia. hini ni taarifa ya BASATA kwa waandishi wa habari: BASATA kama mlezi wa wasanii linamfungulia kufuatia yeye mwenyewe (Nay wa Mitego) kujutia na kukiri kwamba amejifunza na yuko […]

Read More..

Tunda afunguka kumwagana na Young D

Post Image

MUUZA nyago macha-chari Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kumwagana na mwandani wake wa muda mrefu, ambaye ni staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ na kusema ameamua kujiweka kando kwenye maswala ya mapenzi. Akipiga stori na Showbiz Xtra baada ya kumbananisha kuhusiana na tetesi za uhusiano wake kuvunjika kutokana Young D kubaini anatoka na mwanamuziki […]

Read More..

Soggy Doggy Atoboa Chazo cha ‘Kibanda...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye bado yupo kwenye game, Soggy Doggy, ametoa siri ya wimbo wake wa ‘kibanda cha simu’ ambao ulifanya poa sana miaka ya 2000, na kilichompelekea yeye kuandika wimbo huo ambao hauchuji masikioni mwa watu kwa ujumbe wake. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Soggy Doggy amesema chanzo cha yeye […]

Read More..

Sizonje ya Mrisho Mpoto Yamkuna Rais Magufu...

Post Image

Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za msanii huyo hususan wimbo wake ‘Sizonje’. Akizungumza na Mpoto juzi, muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege […]

Read More..

Giggy Money: Sikumbuki Idadi ya Wanaume Nil...

Post Image

STAA wa kike Bongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ anayetingisha kwa ishu kibao mjini, amefunguka kuwa anapenda maisha yake na hajali watu wanavyomchukulia tofauti. Akipiga stori na Swaggaz, Giggy ambaye ni mtangazaji wa Radio Choice FM, Video Vixen na msanii wa Bongo Fleva, amesema skendo zake ndizo zinazompaisha na haoni tabu hata kidogo kusemwa au kuandikwa kuhusiana […]

Read More..

Dully Sykes Amtetea Harmonize Kumuiga Diamo...

Post Image

Msanii Dully Sykes ametoa maoni yake baada ya tetesi za Harmonize kumuiga Diamond, mara baada ya watu kuzidi kutoa maoni yao baada ya kuachia video yake aliyomshirikisha. Akizungumza kwenye Friday Night Live ya EATV, Dully Sykes alianza kwa kutetea kuwa hawafanani lakini baadae akaja kubadilisha upepo,na kusema Harmonize ana kila sababu ya kufanana na Diamond, […]

Read More..

Usiwaze Kunifikia Utakuwa Mtumwa Wangu R...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuwataka wasanii ambao wanachipukia na wale ambao wapo kwenye muziki wafikiri kufanya mambo zaidi yake na wasifikirie au kuwaza kuwa kama Diamond Platnumz. Diamond Platnumz alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema wasanii ambao watakuwa wakimuwaza yeye watakuwa watumwa wake, lakini kama watafikiria kufanya […]

Read More..

AliKiba Atoa Tsh 21M kwa ‘GSM’, Ampiku ...

Post Image

Msanii wa muziki AliKiba amempiku Diamond kwa kutoa tsh 21 Milioni kwa GSM Foundation ikiwa ni siku chake toka muimbaji huyo wa wimbo ‘Kidogo’ kutoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo za kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi. Muimbaji huyo ambaye anafanya […]

Read More..

Alikiba na Mr Blue Kumrudisha Abby Skillz

Post Image

Msanii Alikiba na Mr Blue ambao wote wanafanya vizuri kwa sasa kwenye muziki wa bongo fleva wameshirikishwa kwa pamoja kwenye wimbo mpya wa msanii Abby Skillz ambao unategemewa kutoka siku za karibuni. Kutokana na kipande kidogo ambacho ameimba Alikiba kwenye wimbo huo, kimepokelewa vizuri na mashabiki ikiwa ni ishara kwamba wimbo huo utafanya vizuri na […]

Read More..

Diamond Kutoa Album ya Kimataifa

Post Image

Msanii Diamond Plutnumz amekusudia kuondoa kiu ya watu wengi kwenye game la bongo fleva, kwa kutoa album ya nyimbo zake. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema amekusudia kuwa kabla ya mwisho wa mwaka huu atatoa album ambayo itabeba nyimbo zenye ubora wa kimataifa, na kuondoa ukimya wa kutotoa album. “Mwaka huu […]

Read More..

Jokate Asisitiza Kuitamani Kazi ya Diamond...

Post Image

Jokate Mwegelo amesisitiza kauli yake aliyoitoa kwenye Instagram mwezi uliopita kuwa anatamani kuona Alikiba na Diamond siku moja wanafanya collabo.   Akiongea kwenye kipindi cha 5 Select cha EATV hivi karibuni, Jokate alidai kuwa ili collabo hiyo iwe nzuri, ni muhimu iwe halisi na wala isilazimishwe. “It’s has to be natural for it to be […]

Read More..

Mashabiki Naomba Mnisamehe – Mbasha

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Emmanuel Mbasha amesema anaomba radhi kwa mashabiki wake wote ambao walikuwa wanafuatilia habari zake kuhusiana na kutengana na mke wake Flora Mbasha na yeye kukataa kuzungumzia habari hizo kwa muda wote. Akizungumza na EATV kipindi cha FNL, Mbasha amesema hapendi kuzungumzia mambo yake na Flora Mbasha kwa sababu tayari […]

Read More..