-->

Category Archives: Other News

Kuatana na Jamaa Anaeipwa Kuwatoa Usichana ...

Post Image

Katika tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana akiwa ni bikira. Mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema.Ni dhihirisho la usafi. Hata hivyo jamii moja nchini Malawi haithamini ubikira wa watoto wao wa kike. Amini usiamini wazazi huwa wanamlipa ”Fisi” kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya […]

Read More..

Facebook Sasa Kutuma na Kupokea Fedha Bure

Post Image

Moja ya habari zilizoandikwa kwenye magazetini hii kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Facebook sasa kutuma na kupokea fedha bure’ Gazeti hilo limeandika kuwa utandawazi unazidi kushika kasi ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika. Ndiyo maana sasa hivi kuna mambo mengi ambapo licha ya kuwa Tanzania mambo mengine yanachelewa kutufikia, lakini siku […]

Read More..

Mabasi ya Haraka Kuanza Kutumia Gesi

Post Image

Gazeti la Habari Leo limeripoti kuwa` msimamizi wa usambazaji gesi katika shirika la maendeleo ya petrol  Tanzania (TPDC), Ismail Naleja, amesema awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam yatatumia nishati ya gesi asilia badala ya mafuta jambo litakalosaidia kupunguza gharama. Kupitia gazeti hilo Naleja amesema matumizi ya nishati hiyo yataanza katika […]

Read More..

Picha:Mechi ya TP Mazembe na Yanga,Mashabik...

Post Image

Mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu za Yanga na TP Mazembe imekuwa ya aina yake na kuingia kwenye historia baada ya mashabiki kuingia uwanjani asubuhi na uwanja huo kujaa saa tano asubuhi na mageti kufunga, mechi hiyo itapigwa saa kumi jioni.

Read More..

Waziri Nape Nnauye Afunguka Kuhusu Wasanii ...

Post Image

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na majina makubwa lakini mfukoni hawana kitu. Mhe. Nape Nnauye aliyasema haya kwenye kipindi cha Saturday Sports kinachorushwa na East Africa Radio kila siku za Jumamosi […]

Read More..

Mambo ya Kufahamu Baada ya Kadi za UDART Ku...

Post Image

Abiria wa mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es salaam leo June 20 2016 wameanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hio kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi. HAYA NI MAMBO MATANO YA KUFAHAMU 1.Unapokwenda kununua kadi […]

Read More..

UKAWA Watoka Bungeni Wakiziba Midomo na Kar...

Post Image

Wabunge wa Upinzani wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, huku leo wakitoka bungeni kwa mtindo mpya wa kuziba midomo na karatasi. Hii ni wiki ya tatu mfululizo wabunge wa Ukawa wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kuwa hawatahudhuria vikao vyote vinavyoongozwa na Dk Tulia, kufuatia kukataa hoja ya kujadili sakata la […]

Read More..

TCRA: Simu Feki Kuzimwa Leo

Post Image

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imesisitiza kuwa zoezi la uzimwaji simu feki unatekelezwa leo kama ilivyokuwa imepangwa. Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu, James Kilaba alisema kwa wale watakaofanya ujanja wa kubadilisha namba tambulishi (IMEA) watachezea kifungo cha miaka 10 jela au […]

Read More..

Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuham...

Post Image

Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuhamasisha wateja kuhusu simu bandia 0 Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza ofa mpya ambayo watumiaji wote wa simu ambazo ni bandia watapata simu halisi kila watakapotembelea duka la huduma kwa wateja la Tigo kubadilishwa simu hizo. Mradi huu unalenga kuwawezesha Watanzania kupata simu halisi kutokana na ukomo […]

Read More..

Rais Amefanya Mabadiliko Baraza la Mawazir...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri huku akimteua Mbunge wa Buchosha Dk. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Nchemba anachukua […]

Read More..

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Jo...

Post Image

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya miaka mitano ya ualimu wa sayansi, wametakiwa kusoma ngazi ya cheti au stashahada. Kama watataka kusoma ngazi ya juu, watapaswa kuomba upya udahili. Aidha, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imesema wanafunzi […]

Read More..

Nunua Filamu Hapa: Filamu Mpya Zilizotoka, ...

Post Image

NUNUA FILAMU HAPA: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. Filamu hizi zinapatikana sasa

Read More..

Mawakala Wakusambaza Filamu Wanahitajika

Post Image

Kama wewe una Duka/Supermarket /Kibanda  au unataka kuanza biashara popote pale ulipo sasa unaweza ukaongeza biashara yako kwa kuuza filamu za bongo kwa faida kubwa zaidi. Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. Wahi sasa.  

Read More..

Mtanzania Atajwa Kwenye Orodha ya Forbes Af...

Post Image

Bwana Edwin Bruno, mjasiriamali wa Kitanzania, mshindi wa tuzo ya kijana mwenye mafanikio 2015, mwanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Smart Codes (www.smartcodes.co.tz) ametajwa katika jarida la Forbes Africa. Kila mwaka, jarida hilo hutoa orodha ya vijana 30 wenye umri chini ya miaka 30 ambao wana nafasi ya kuwa mabilionea wa baadaye. Majina hayo yalikusanywa […]

Read More..

COSOTA Yatoa Wito Huu kwa Wasanii

Post Image

WASANII nchini wametakiwa kutambua wajibu wao katika suala zima la hatimiliki ili kuweza kujiinua kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kimataifa wa vyama vya usajili wa kazi za wasanii (AFRO), Mwenyekiti wa Bodi wa Chama cha hati miliki Tanzania (Cosota), Dk. Ritta Mwaipopu, alisema endapo kama wasanii […]

Read More..

Picha za Waziri wa Sudan Zawa Gumzo Mtandao...

Post Image

Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Sudan Kusini Mh. Mabior Garang De Mabior ambaye ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na kiongozi wa zamani wa kikundi cha waasi cha SPLA/M cha Sudan Dr. John Garang amekuwa gumzo mitandaoni baada ya picha zake zenye utata kusambaa katika mitandao ya kijamii. Mabior Garang ambaye […]

Read More..

Wabunge wanawake UKAWA watoka nje ya Bunge,...

Post Image

Wabunge wanawake wa Upinzani(UKAWA) wametoka nje ya Bunge asubuhi ya leo, baada ya kauli kuwa wanapewa nafasi za Ubunge sababu wana mahusiano ya kimapenzi na viongozi wao. Akizungumza nje ya ukumbi wa Bunge kwa niaba ya wenzake Mbunge wa Kawe Halima Mdee ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) amesema wamekasirishwa na […]

Read More..

ZIFF Yatangaza filamu za kuonyeshwa, Nyingi...

Post Image

Tamasha la filamu la Zanzibar (ZIFF) limetangaza majina ya filamu zitakazoshindanishwa hapo ifikapo Julai 9 hadi 17. Tamasha lilipokea jumla ya filamu 490 kutoka nchi 32 mwaka 2016. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo, Meneja wa Onyesho hilo, Daniel Nyalusi alisema, jopo la wachaguzi wa filamu limependekeza filamu 80 ndio zitakazoshindanishwa […]

Read More..