-->

Chidi Mapenzi Aeleza Ilipo Gari Alilomnunulia Shamsa Ford

Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi  mke wake  limeshafika likimiwa limeingilia badari ya  Zanzibar na kichafanyika sasa niki

Chidi Mapenzi na mke wake Shamsa Ford

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema “lile ni gari ambalo alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini ingawa hana wasiwasi kwa kuwa mke wake ni mvumilivu na anaishi maisha ya aina yote.

Hata hivyo Chidi amesema hataki kabisa kusikiliza maneno ya watu kwa kuwa watu wanaongea mambo mengi ikiwa ni pamoja kusema amamkimbia mke wake na kwenda China wakati ukweli ni kuwa yeye ni mtu wa kusafiri mara kwa mara kwa sababu ya biashara zake.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364