-->

Harmorapa:Sijawahi Kuachwa na Mwanamke

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali yeye ndiye huwa anawaacha hivyo hajui suala la maumivu ya mapenzi.

Harmorapa alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, na kudai yeye hajui maumivu ya mapenzi kwa kuwa hajawahi kuachwa na mwanamke.

“Hapana mimi sijawahi kutoswa, kuachwa na mwanamke haijawahi kutokea kwangu, mimi ndiyo huwa nawaacha ila si kuachwa” alisema Harmorapa 

eatv .tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364