Hasheem Thabeet Amkumbuka Ex Wake Jokate siku ya kuzaliwa kwake.


Mwanamichezo anayecheza mpira wa kikapu ‘basketball’ nje ya nchi, Hasheem Thabit amemkumbuka aliyekuwa mpenzi wake mrembo Jokate kwa kumpa Zawadi siku ya birthday yake. Hasheem alijzolea umaarufu baada ya kuanza kucheza basketball katika ligi ya NBA nchini Marekani miaka ya nyuma. Hivi sasa Hasheem anacheza basketball nchini Japan. Hasheem na Jokate walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya miaka mitatu na baadae kuweka wazi kuwa wameachana lakini Siku chache zilizopita ilikuwa ni birthday ya Jokate na Hasheem alimpa zawadi ya maua rose.

Kwa upande wa aliyekuwa mpenzi wake JokateHasheem Thabit hakutaka siku ya mwanadada huyo ipite bila kumpatia zawadi kwenye siku yake ya kuzaliwa, kupitia instagram account ya Jokate alipost maua aina ya rose aliyopewa na Hasheem Thabit na kushukuru kwa maua hayo.

Jokate aliandika……>>>“Bado napokea zawadi za maua Asante Sheemy@hasheemthedream“

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364