-->

Leo ni Birthday ya Aunty Ezekiel, Wema ,Zari, Diamond Wameandika Haya

aunty045

Leo Oktoba 27 ndiyo tarehe aliyozaliwa staa wa Bongo Movies Aunty Ezekiel aka Mama Cookie. Mastaa mbalimbali wa Bongo kupitia akaunti zao za Instagram wamemtakia heri katika siku yake ya leo kwa jumbe mbalimbali;

“Okay…. i think imetosha na mapicha picha na hapo bado ninazo nyingine kama Mia… Tusisahau kwenye simu ya Tiake pia zipo… Maana tungeamua kuweka zote tungekesha…. We come a long way my love… Na kila siku tumekuwa tukikorofishwa na maneno ya huku na kule… Mi na wewe hakuna wa kutuingilia, Nadhani ndo tunachosemaga kila siku… I miss you, And I know u miss me too… Nakupenda everyday… Maneno Kitu simple, kajisemea Chafu pozi…??? But wat matters is the heart… Na ndani ya moyo wangu jua kwamba nakupenda sana…. No matter wat… You know Better… On this special day nataka nikwambie, maybe Sometimes watu wanatuweza kweli kweli na inaweza tokea tuka kechi wote na tununiane na tusisemeshane, BUT You will forever have a special place in my Heart Tiake…. Navyokupenda ni vile vile kama nilivyokuwa nakupenda juzi na jana… Nothing has changed…. Happy Birthday my love… My Best friend…. Usikechi basi ukaanza kulia maana nakujua….??… Love you alot… And this comes from ndani kabisa ya moyo wangu…. @auntyezekiel ….❤️️”-Wema Sepetu

“Mmiliki umezaliwa leo Mungu akupe Amani ya Moyo maana ndo kila k2 katika Maisha love u girlfriend @auntyezekiel” -Wolper

“Happy birthday mzazi mwenzangu. May the Lord keep blessing you and your family…. @auntyezekiel ?”-Zari

“Happy birthday T-Ake… Mungu akupe Maisha marefu yenye Mafaniko, Afya na furaha tele…. Shukran kwa support kubwa unayonipa me na team yangu nzima @auntyezekiel twakupenda saaaaaaana ?????”-Diamond

 

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364