-->

Masanja Arusha Kijembe , Madai ya Kusakwa na TRA

MASANJA33

Kufuatia taarifa za ‘udaku’ kuenea kuwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wana msaka mchekeshaji, mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji kwa madai kuwa mbali ya kumiliki magari zaidi ya sita huku taarifa za kodi zake hazionekani, staa huyo hivi karibuni anadaiwa kununua gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser Super Charger lenye thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni mia mbili.
Mwenyewe Masanja ameibuka kupitia ukursa wake wa Instagram na kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na moja ya magari yake na kuandika haya.

“?NA MAGAZETI NYUMBANI ?KWA KUKUZA HABARI SI UNAJUAGAAA….? ?UTASIKIA TAFARANI ?MASANJA TRA HAJALIPAGAAAA? ?NA VILE NILIVYO MNYONGE ?TABIA YA KUWAJIBU SINAGAAAAAA? …………………………………… MALIZIA VERCE
#Wafilipi4:13#”

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364