Mume wa Shamsa Ford, Chid Mapenzi Atakiwa ‘Central ‘ Polisi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameamuru kukamatwa kwa mume wa muigizaji wa Bongo Movie Shamsa Ford, Chidi Mapenzi na kupelekwa polisi.
‘Kuna mtu anaitwa Chid Mapenzi, huyo nataka akachukuliwe sasa hivi nimkute central’-Makonda aliagiza leo hii ikiwa ni muendelezo ya vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Chid Mapenzi ni mfanya biashara maarufu wa mavazi jinini Dar es salaam.