-->

New Video: Harmorapa Kaachia Video ya ‘NUNDU’

Harmorapa alianza kukiki kwenye mitandao kiutaniutani ambapo baadae Producer maarufu P Funk Majani alimuona na kukutana nae kwenye studio za Bongo Records, alimsifia kuwa anapenda kujifunza na ni mwepesi pale anapoelekezwa.

Sasa Harmorapa kaanza kuachia ngoma zake ambapo hapa kamshirikisha  Ronei na Mkongwe mwingine wa Bongofleva Cpwaa, ukishaitazama hii usisahau kuacha na comment yako ili wakipita wajue Tanzania imewapokeaje kwenye hii.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364