Hemed "PHD" wa bongo movies anusurika kupigwa club kisa perfume, soma hapa!

Hemed
Ungependa kujua kodi za kuingiza gari nchini?
Tembelea : www.kodiyagari.com

Usiku wa jana jumapili tarehe (12/5/2013) , mwigizaji wa bongo movies Hemedi Suleiman maarufu kama PHD alinusurika kupigwa na mwanadada wa kizungu wakati akizindua wimbo wake wa “Rest of my life” ambapo hit maker huyo aliingia stejini kwa style ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada huyo wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage na Hemed alikosea kudhani kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkali huyo wa music na bongo movies kwani mrembo huyo alimaindi na kuamua kusubiri mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage  alimfata backstage na kumsemea mbovu huku akiwa na baunsa wake pembeni kuhusu kitendo alichokifanya on stage.tizama video hapa jinsi mwanadada alivyokuwa akiwaka!

13.05.2013 -  Tags:  Hemedi Suleiman  PHD