Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa!

Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa!
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 1
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 2
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 3
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 4
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 5
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 6
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 7
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 8
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 9
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 10
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 11
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 12
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 13
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 14
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 15
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 16
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 17
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 18
 • Mama Loraa, baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi wamefanya haya leo hii huko kigogo, huu ni mfano wa kuigwa! 19
Ungependa kujua kodi za kuingiza gari nchini?
Tembelea : www.kodiyagari.com

Katika kusherehekea sikukuu ya pasaka, mlezi, mdau na mfanyabiashara mkubwa sana nchini Mama Loraa, akishirikiana na waigizaji wa bongo movies baby madaha, Flora Mvungi na Snura Mushi,leo waliamua kuweka mambo mengine yote pembeni na kuamua kujumuika pamoja na watoto yatima wa kituo cha New Life kilichopo huko Kigogo Dar es Salaam kwa ajili ya kuwafariji na kusherehekea nao sikukuu hii ya pasaka.

Tukio hili la mapenzi mema kwa watoto hao liliondaliwa na Mama Loraa pamoja na warembo hao wa bongo movies, lilijumuisha chakula cha mchana kilichopikwa  na Baby Madaha, Frola Mvungi na Snura pamoja na vinywaji mbalimbali vilivyoletwa  pamoja.

Akizungumza na bongomovies.com, Mama Loraa alisema kuwa ameamua kufanya jambo hilo kama shukrani yake kwa jamii inayomzunguka na pia kama moja ya njia ya kuweza kuwafariji wale ambao kwa namna moja ama nyingine wapo kwenye mazingira magumu.

Pamoja na chakula hicho pia watoto hao waliweza kupewa zawadi za vitu mbalimbali vya matumizi hapo kituoni kama vile sabuni za kuogea, mafuta ya kujipaka, unga, sukari na mchele.

Tukio hili limefanyika katika kituo cha watoto yatima cha New Life kilichopo maeneo ya Kigogo “round-about” jijini Dar es Salaam. Angalia picha za tukio zima hapo chini.

31.03.2013 -  Tags:  Mama Loraa  baby madaha  Frola Mvungi  Snura Mushi 

Related news: