-->

CD na DVD 7,780 Bandia Zakamatwa Dar

Post Image

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata CD na DVD 7,780 za muziki na filamu kutoka kwa wasambazaji mbalimbali jijini Dar es Salaam zikiwa bila stempu za kulipia kodi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Zoezi hilo liliendeshwa kwa kushirikiana na Kampuni ya Yono Auction Mart na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali, ambapo lilibaini ukiukwaji […]

Read More..

Lowassa Bado Una Nafasi Kubwa Kwangu -Shams...

Post Image

Msanii wa filamu nchini na aliyekuwa akitoka kimapenzi na msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa bado aliyekuwa mgombea wa urais nchini mwaka jana kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yupo moyoni mwake. Kupitia Account yake ya Instgram Shamsa Ford alipost picha ya Mh Edward Lowassa na kusema ni kumbukumbu yake lakini siku […]

Read More..

Baraka Awaponda Wasichana Wanaomshobokea

Post Image

Msanii Baraka da Prince amewapa za uso watu wanaomchafua kwa kusema kuwa wana mahusiano nae, na kusema jitihada zao za kumuharibia taswira yake kwenye jamii zimegonga mwamba. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Baraka amepost picha akiwa na mwananmke lakini hakumuonyesha sura ni nani, na kusema kuwa mwanamke huyo ndiye anayemtambua na sio wengine. “My life […]

Read More..

Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza. Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana. “Hii si […]

Read More..

“Muziki wa Bongo Fleva ni bigijiiR...

Post Image

Mwanamuziki wa miondoko ya dance hapa nchini Patcho Mwamba amesema muziki wa bongo fleva hauna tofauti na bigjii maana haudumu kwa muda mrefu. Patcho ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E NEWS kinachorushwa na kituo cha EATV. Patcho amesema pamoja na waandaaji wa vipindi vya redio na runinga kuwapendelea wanamuziki wa bongo fleva […]

Read More..

INSTANEWS: Wabongo wa Mvaa Rosemary Odinga ...

Post Image

Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo! Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi vijana wa kimataifa, IYLA kwenye umoja wa mataifa kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, amekuwa akioga mvua ya matusi. Kupitia Instagram, Ms Odinga aliandika: I have just been […]

Read More..

TAFF Imeunganisha Tasnia ya Filamu

Post Image

SIKU za nyuma kulikuwa na malumbano makali kati ya shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) na kundi la Bongo Movie Unity lilokuwa likiundwa na wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood na kuleta sintofahamu . Lakini kutokana na juhudi za Mwakifwamba pamoja na makamu mwenyekiti wake Deosonga Njerekela wamefanikiwa kuwaunganisha na sasa ni kundi moja wanaongea […]

Read More..

Rais JPM amtumia salamu za Rambirambi JK kw...

Post Image

Kaka wa Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, Mzee Selemani Mrisho Kikwete enzi za uhai wake.

Read More..

Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta

Post Image

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na […]

Read More..

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika kupi...

Post Image

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini hapa, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo jana, ilieleza kuwa kesi hiyo namba 006/2015 iliyopangwa kusikilizwa Machi 11 haitasikilizwa katika mahakama […]

Read More..

Ray Baada ya Kukimbiza na Maji Sasa Anakimb...

Post Image

MUONGOZAJI,mtayarishaji na mwigizaji wa filamu  Vincent Kigosi ‘The Greatest’ Mzee wa Maji akiendelea kutikisa na unywaji wa maji sasa ameibuka na filamu yake kali na ya kusisimua ya Tajiri Mfupi ambayo ipo madukani na inatembea kama karanga kila mtu anataka kujua Mzee wa Maji kafanya balaa gani humo! anasema kuwa filamu ya Tajiri Mfupi ni […]

Read More..

Sina Mpango wa Kuoa Mtu – Ney wa Mitego

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa na wala hafikirii kuoa, licha ya kuwa na watoto ambao wanahitaji malezi ya mama. Ney ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwa sasa hayuko kwenye mahusiano yoyote, na suala la kuoa kwake ni suala zito, hivyo hawezi kukurupuka na […]

Read More..

Baada ya Lupela, Alikiba Kuja na Hii

Post Image

Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba […]

Read More..

Shamsa: Siwezi Kumhukumu Nay

Post Image

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea Ngoma ya Shika Adabu Yako iliyoimbwa na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuwa kamwe hawezi kumhukumu Nay kwa maneno aliyoimba. Akigonga mbili-tatu na Showbiz, Shamsa aliyewahi kubamba na Filamu ya Chausiku alisema kuwa aliusikia wimbo huo uliowachana mastaa wengi wa Bongo Muvi […]

Read More..

Wanaosema Nimefulia ni Mamluki na Kenge -Du...

Post Image

Msanii Dudu baya amewalalamikia Watanzania na kusema kuwa hawafikirii kitu kingine cha msingi pale msanii anapokuwa kimya, na badala yake wanakimbilia kusema msanii huyo amefulia. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Dudu baya amesema mashabiki weni ndio wa kwanza kulaumu kuwa wasanii wa Tanzania hawana elimu, hivyo wakikaa kimya ili kufanya […]

Read More..

Picha: Wasanii wa Fialamu ya Tajiri Mfupi W...

Post Image

Wasanii wa filamu nchini Mr Kupa na Chodo, walitembelea katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tabata, kwaajili ya kutoa msaada katika kituo cha HURUMA, kama sehemu ya shukrani kwa kuingia kwa filamu mpya ya Tajiri MFUPI sokoni siku ya leo.

Read More..

Exclusive Video: Harmonize Ft Diamond Platn...

Post Image

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”  Video imefanyika nchini Afrika Kusini.

Read More..

Nataka nifikishe watoto wanne – Flora Mvu...

Post Image

Msanii wa filamu Flora Mvungi ambaye pia ni mke wa mwanamuziki H.Baba, amejibu shutuma zinazoongelewa na watu katika mitandao ya kijamii kuwa anazaa haraka haraka mno ambayo ni hatari kwa afya yake. Akizungumza katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm, Flora amesema kila mtu ana maamuzi yake kuhusu maswala ya uzazi. “Nataka nifikishe watoto […]

Read More..