Pale Mwalimu Alipobambwa Kona Aikwa na ‘D...

Post Image

Short Video Clip Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie- Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Ben,  Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date:  29 January 2016 Distributor: Step Entertainment

Read More..

Faiza Atumia Njia Hii Kumfikishia Ujumbe Ba...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzie na Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameamua kutumia mtandao wa instagram kumfikishia ujumbe mzazi mwezie kuhusu matunzo ya mtoto kwa madai kuwa kwa sasa hawana mawasiliano. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao huo, Faiza aliweka video ya mtoto wao Sasha akimuomba hela baba yake (Sugu) yakusukia nyewele […]

Read More..

Sipendi ‘Scenes’ za Kushikwa Sh...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Halima Yahya maarufu kama Davina, amesema katika maisha yake ya sanaa ya uigizaji hapendi scenes za mapenzi hasa hasa zile zinazomtaka aonekane akishikwa shikwa kitandani. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu, amekiambia kipindi cha Papaso cha TBC FM kuwa scenes hizo humpatia wakati mgumu wakati anapopewa ili avae uhusika. […]

Read More..

Huyu Ndiye Gabo Zigamba Mjukuu wa Mzee Kiye...

Post Image

UNAPOSIKIA jina la Gabo Zigamba si jina geni katika tasnia ya filamu , Gabo amejizolea umaarufu katika tasnia ya filamu baada ya kufanya vizuri na kuwachanganya wapenzi wa filamu Bongo, wengi wakiamini kuwa ni kijana wa Kimachinga kutoka Kusini kumbe ni Mdigo na Mhehe. Jina halisi la msanii huyu ni Salim Ahmed Issa akisema hilo […]

Read More..

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiang...

Post Image

Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond. ‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Read More..

Wema Aanza Mazoezi ya Kulea Mtoto

Post Image

Habari ya mjini kwa sasa ni ujauzito wa Wema Isaac Sepetu ambapo inadaiwa kuwa ameanza mazoezi ya kumlea mtoto wake mtarajiwa. Kwa mujibu wa shosti wake wa karibu, kwa sasa Wema ameongeza urafiki kwa akina mama wenye watoto wachanga ili kuchukua ‘maujuzi’ ya namna ya kuwa mama bora kwa mwanaye mtarajiwa. “Yaani ukitaka kujua Madam […]

Read More..

Sitaki Kusikia Siasa Tena- Mzee Yusuf

Post Image

Mzee Yusuf mwaka jana alikuwa na nia ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Fuweni Zanzibar lakini baadaye alipigwa chini kwenye kura za maoni na badala yake alikuwa akionekana kwenye kampeni za chama hicho akitoa burudani kama ambavyo wasanii wengine walikuwa wakifanya. “Sahizi nasema ukweli kabisa sitaki kusikia kitu kinaitwa […]

Read More..

Madee Achomoa Kuchoma Gari Lake Baada ya Ki...

Post Image

Baada ya Arsenal jana kupigwa kichapo cha bao moja mtungi na Chelsea, msanii wa bongo fleva Madee amechomoa kuchoma gari lake kama alivyoahidi na kusema yeye hana utajiri huo wa kuchoma gari na hata kama angekuwa nao asingeweza kufanya hivyo. Madee jana alipost kwenye Account yake Instgram na kudai kuwa kama Arsenal watafungwa na Chelsea […]

Read More..

Kajala Ajivunia Paula Wake

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake,  Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti  kisha akaandika haya. “Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess😍😍😘💋”-Kajala Hongera sana […]

Read More..

Picha: Wastara Akifanya Mazoezi Nchini Indi...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo  nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.

Read More..

Zari ‘Mama Tiffah’: Nafuata Din...

Post Image

BAADA ya sintofahamu nyingi kuibuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za mpenzi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zari the boss Lady, kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akibatizwa mtoni, mwenyewe ameibuka na kuweka sawa sintofahamu hizo. Akizungumza na mtangazaji, Millard Ayo kupitia kipindi cha Top Twenty, Zari […]

Read More..

Idris Athibitisha Kumpa Wema Ujauzito

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2015 Idris Sulta, athibitisha kumpa ujauzito mlimbwende amabaye hakauki vinywani mwa watu kutokana na umaarufu wake na urembo wake Wema Sepetu, huku akijivunia kuwa na mwanamke huyo maishani mwake. Katika ukurasa wake wa Instagram Idris Sultan ameandika maneno ambayo yanaashiria wazi mlimbwende huyo ambaye pia anafanya vizuri runingani […]

Read More..

Nisha: Nikilala na Kuamka na Barakah Da Pri...

Post Image

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo kwenye malavidavi na Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, amefunguka kuwa hajali ni wangapi wanampenda jamaa huyo kikubwa analala naye na kuamka naye. Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa kwa kawaida tamaa kwa wanaume ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake anaangalia […]

Read More..

Davina Amtolea Uvivu Mwandishi wa Stori Hi...

Post Image

Kufuatia gazeti moja la udaku kuandika stori ya uongo juu yake, Staa wa Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtolea uvivu muandishi wa stori hiyo kupitia ukurasa wake mtandaoni. Hivi nyie waandishi wengne hv kwann hamnaga utu lini nimeongea na wewe lini? zuwenanyembo na ktk story umeandika nimekutaja mpk jina me nakujua ww😈 Wkt mwingne mnasemaga […]

Read More..

Rose Muhando Ang’atwa na Nyoka

Post Image

DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando yupo hoi kitandani baada ya kung’atwa na nyoka. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Rose akiwa anaingia getini usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwake mkoani Dodoma aling’atwa na nyoka mguuni na kukimbizwa hospitali iliyopo Area C mkoani humo. “Maskini Rose […]

Read More..

Baada ya Kusugua Benchi Miaka Mitano, Nora...

Post Image

STAA aliyekuwa akitingisha kwa wasanii Bongo kutoka Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa Mungu amemuona baada ya kukaa benchi kwa takriban miaka mitano bila kurekodi sinema. Akizungumza na Ubuyu wa Town, Nora alisema alikuwa ameshakata tamaa lakini anaishukuru Kampuni ya Didas Entertainment ambayo imemthamini na kumrudisha tena kwenye gemu. “Watu waliniona mimi sifai […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Tunajenga Kwanza Ndani Ndio T...

Post Image

Kutokana na kusuasua kwa hatua za tasnia ya filamu Bongo kuingia katika soko la kimataifa, nyota wa filamu Aunt Ezekiel amesema kuwa zipo jitihada zinafanyika sasa kuweka mambo sawa katika soko la ndani ambalo limeshuka, kama msingi wa safari hiyo. Aunt ambaye hakufafanua mikakati yenyewe, ameeleza kuwa itakuwa ni uongo pale kufanya jitihada za kwenda […]

Read More..

Ndege Wanaofanana Huruka Pamoja-Lulu

Post Image

Kupitia ukurasa wake mtandaoni,staa mrembo wa Bongo Movies ‘Lulu’ amefunguka haya; Kuna Msemo Unasema “NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA” hii misemo huwa inamaana sana Kwa akili yangu ndogo nilijaribu kuuweka huu Msemo katika Maisha ya kawaida Na nikagundua Una asilimia kubwa ya ukweliKatika Maisha yetu ya mahusiano,urafiki,undugu,ujamaa Na hata ushabiki sio kwamba mambo yanatokeaga Kama miujiza […]

Read More..