-->

Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Yazua Gumzo Mtandaoni

Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.

gigy822

Video queen huyo alipost picha hizo katika mtandao wake wa instagram na kuandika: Bwanaaa bwanaaa nisipige picha na watu. Pia katika picha nyingine aliandika: I don’t care

idriss12

Picha hizo ziliibua hisia tofauti kwa mashabiki wa Wema Sepetu na kuanza kumshambulia Gigy. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki hao.

giy89

Izack_da_real

Wee kilasiku wakudandia vya watu? Embu kua mbunifu tafuta wako @gigy_money

Jessy_jay_jacob

Mmmmmh unavyo ji sex sisha kwa @idrissultan kisa kashikilia icho kiuno ????? umeshia kupata manukato yake tu hapo?????


Aishafadhir

Jmn wa2 mnajua kukuza vtu khaaa….pic tu mnatoa maneno yote hayo jmn waachen binadamu wenzenu waish maisha yao jmn mnakera kwakwel…..idrs akpga pic na grl s bas wanamahusiano ?wema akpga pic n boys bas wanamahusiano ?2seme nyie hamna urafik na tofaut ya jnsia zenu? Huyu mdada akpost pic na mtu yeyote anatafuta kiki? Kwan yy n nan na idris n nan? Wote wanajuana na ndomana wakajselfiiiii …..Jmn hebu fanyen yenu mnachosha kila sku kuingilia mapenz yawa2 yenu huko yanawashnda

Katoto_lee

Muacheee umalayaa, we na dada yakoo Anaomba kupiga pichaa alafuuu anaanza kujiproud katokaa naeeee????yaaniii gig ni chefuuuuuuuuu

vivian

Shingo alivyolinyoosha ilimlad tu atafte kiki jaman kweli gigy money gigy elf20 shikamoo ney wa mitego

Pinkylioussalvado
Ahahaha,,shikamoo ney wa mitego(dem ana xura mbaya ila ana bonge LA tak

Chanzo: Bongo5

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364