Tag Archives: JOKATE

Hasheem Thabeet Amkumbuka Ex Wake Jokate si...

Post Image

Mwanamichezo anayecheza mpira wa kikapu ‘basketball’ nje ya nchi, Hasheem Thabit amemkumbuka aliyekuwa mpenzi wake mrembo Jokate kwa kumpa Zawadi siku ya birthday yake. Hasheem alijzolea umaarufu baada ya kuanza kucheza basketball katika ligi ya NBA nchini Marekani miaka ya nyuma. Hivi sasa Hasheem anacheza basketball nchini Japan. Hasheem na Jokate walikuwa kwenye mahusiano ya […]

Read More..

Kiba Amlipua Jokate

Post Image

Staa anayesumbua na wimbo wa Lupela, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amedaiwa kumlipua Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa kusema hakuwahi kuwa na mpango wa kudumu naye penzini, Risasi Jumamosi linakupa ubuyu kamili. Hivi karibuni, Jokate alizungumza na wanahabari wa Global Publishers na kudai amemchoka mpenzi wake huyo hivyo ameamua kumuacha rasmi Kiba ambapo habari hiyo ilichapwa […]

Read More..

Sabby Adaiwa Kumpindua Jokate kwa Kiba

Post Image

Mwigizaji wa sinema za Kibongo anayefanya vyema pia kwenye Muziki wa Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedaiwa kumpindua mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mpenzi wake, Ali Kiba ‘King Kiba’, Ijumaa Wikienda limenasa vielelezo vya ubuyu kamili. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Sabby amevamia penzi la Jokate na kuhakikisha anampa ‘vitu adimu’ Kiba kiasi ambacho mkali […]

Read More..

Jokate, Kiba Wazichapa

Post Image

Wapendanao, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Kiba ‘King Kiba’, wamedaiwa kuzichapa kavukavu ndani ya gari kisa kikiwa ni ujumbe mfupi wa maneno (SMS), Risasi Jumamosi lina ubuyu kamili. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilitokea katikati ya wiki iliyopita maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam bila kujulikana walikuwa wakitokea wapi kwenda wapi. okate […]

Read More..

Jokate Amwangukia Mama Kiba

Post Image

Malovee tena! Siku chache baada mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, kumwagana, hatimaye habari za chini ya kapeti zimevuja zikidai kwamba Jokate ameamua kumwangukia mama mzazi wa Kiba ili kunusuru penzi hilo na sasa mapenzi yamerudi upya. Tukio hilo lililonaswa na vyanzo vyetu lilijiri usiku mnene […]

Read More..

Jokate, Kiba Kumwagana, Kumbe Chanzo Mimba

Post Image

Dar es Salaam: Wakati mastaa wenzake Bongo, Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja wakifurahia kunasa ujauzito, taarifa ambazo zimevuja zinadai kwamba, chanzo cha Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kumwagana na Mwanamuziki Ali Saleh Kiba ni kufuatia kuchoropoka kwa mimba ya mrembo huyo hivyo kumsononesha moyo wake, Ijumaa limenyetishiwa siri nzito. Habari kutoka ‘redio mbao’ za mjini […]

Read More..

Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na...

Post Image

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.   Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini. Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia […]

Read More..

Jokate, Kiba Wamwagana

Post Image

Dar es Salaam: Hii ni habari ya kipekee (Exclusive Story)! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wanadaiwa kumwagana, Risasi Jumamosi ndilo gazeti pekee linaloweza kuthubutu kukupa mchapo kamili. abari ya mjini kwa sasa ni juu ya wawili hao ambao walikuwa gumzo […]

Read More..

Ali Kiba Ampagawisha Jokate

Post Image

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake. Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani. […]

Read More..

1

Picha: Fashion Show ya Kwanza ya Wanawake W...

Post Image

Kwa mara ya kwanza mbunifu mkubwa wa mavazi, Mustafa Hassanali akiwa na mwanamtindo maarufu hapa Bongo, Jokate Mwegelo siku ya jana waliandaa onyesho la mavazi ya kanisani kwa wakinamama yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kardinali Rugambwa jijini Dar es salaam, ambapo Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa onyesho hilo. Hizi ni baadhi ya […]

Read More..

Mimba ya Jokate Yadaiwa Kuchoropoka

Post Image

IMEFICHUKA! Ile mimba ya mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ iliyokuwa ikisemekana ni ya Mbongo-Fleva, Ali Saleh Kiba inadaiwa kuharibika kwa kuchoropoka kisa kikiwa ni mazoezi makali aliyoyafanya hivi karibuni. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba, Jokate kwa sasa hana ujauzito tena kwani ulichoropoka kufuatia mazoezi makali ya kujiandaa na shoo aliyofanya ya Nyama Choma […]

Read More..