-->

Tag Archives: vanessa mdee

Vanessa Mdee Afunguka Kuvunjwa Moyo

Post Image

Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amefunguka na kudai anamshukuru Mungu kwa kupokelewa vizuri albamu ya ‘Money Monday’ mpaka sasa japokuwa kuna baadhi ya watu wanataka kumvunja moyo. Vanessa amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) kutoka EATV baada ya kuulizwa swali na […]

Read More..

Vanessa Mdee anaikubali couple ya P Diddy n...

Post Image

muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa. kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu” Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali […]

Read More..

Diamond na Vanessa wamo kwenye shindano la ...

Post Image

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee waingia tena kwenye shindano la MSANII BORA WA MWAKA 2017 ( “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”).   Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwania tuzo za nchini Nigeria “Too Exclusive Awards 2017″ na wote wametajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa mwaka ( AFRICAN ARTISTE OF […]

Read More..

Vanessa mdee Auza Nakala 750 za CD ya Money...

Post Image

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake. Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu […]

Read More..

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record...

Post Image

January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake  Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo na alinunua CD 25. Jux amesema kuwa amenunua CD 25 nyingine atawapa mashabiki wake lakini pia amefanya hivyo kwa ajili ya kumsupport Vanessa Mdee, msikilize […]

Read More..