-->

Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla.

Ray

Ray

Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi.

Ray ameandika;

“Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa ajili ya watu na usipende kuishi kwa macho ya watu hata shetani alikataa mbingu na Mungu hakuilaani mbingu alimlaani yeye aliyekataa mbingu”.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364