-->

Wolper Atoboa Hii Kuhusu Wanaume wa Kikongo

MUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper ‘Jack’ anasema kuwa amewashitukia wanaume si wakuiwategeemea kwa maisha endelevu kwani unaweza kupotea ukaamini unapendwa kumbe yupo naye kikazi, hivyo akili yake anawekeza katika mambo yake ya kibiashara ni kujitaidi kuwa mbunifu .

Kuna wanaume wanajua kusifia hasa ukimpata mwanaume wa Kikongo unahisi dunia yote ni mali yako lakini kumbe hakuna lolote subiri sasa akuchoke unajishutukia umemaliza kila kitu yeye anakukimbia,”alisema Jack.
Pamoja na kuwa mjasiriamali msanii huyo anadai kuwa kwa sasa amejikuta akigeukia katika masuala ya ubunifu wa mavazi na kufanikiwa lakini malengo yake ni kuwa na lebo kubwa ya mavazi na bidhaa nyingine ambazo atauza popote na si ndani ya Bongo tu.

Jack anasema kuwa anapenda sana akina dada ambao wana wanaume ambao ni Wakongo kwani wanaume hao ni mabingwa wa kusifia japo si watoaji mkwanja kwa wanawake, lakini wakianza kumsifia kitu mtu lazima wanunue jambo ambalo linamnufaisha yeye kulingana na biashara yake ya nguo.

Filamucentral

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364