-->

Author Archives: editor

Flora Mvungi Atiwa Mbaroni

Post Image

Majanga ya Krismasi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia muigizaji Flora Mvungi kujikuta mikononi mwa polisi alipokuwa akisherehekea sikukuu hiyo. Mrembo huyo alipata majanga hayo akiwa na wenzake wakipata ‘masanga’ kwenye baa moja iliyopo jirani na Kituo cha Polisi cha Urafiki na ndipo askari waliokuwa doria walipowakamata na kuondoka nao hadi kituoni hapo. Awali, askari mmoja alifika […]

Read More..

Pastor Myamba Anatoa Mapepo Kanisani Kwake ...

Post Image

HISTORIA ya tasnia ya filamu imekuwa ikiendana na uhalisia wa waigizaji katika kujenga uhusika na kuwa ndio maisha halisi, ukiona muigizaji anaigiza mtu wa kaleti itakuwa hivyo, hilo linajitokeza kwa Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ ambaye naye kwa sasa pamoja na kumiliki chuo cha Sanaa sasa anamiliki kanisa lake Kigamboni. “Naamini kuigiza ni sehemu pia ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Siwezi Kuvunja Kiapo cha Kufun...

Post Image

WEMA Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuvunja kiapo alichoweka kuwa akitimiza umri wa miaka 30 bila kupata mtoto atafunga kizazi. Wema aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kuwa alitoa ahadi kuwa atakapofikisha umri wa miaka 30 bila kunasa ujauzito, basi atafunga kizazi na kwenda kuasili mtoto. “Mwaka ndiyo hivyo unaisha, lakini ahadi yangu iko palepale. Kama […]

Read More..

Sitaki Kuteseka Miye – Rose Ndauka

Post Image

ROSE Ndauka muigizaji wa filamu Bongo anasema kuwa maisha yana nafasi kubwa kwa mwanadamu na unaposhindwa kufanya hivyo lolote linaweza kutokea, endapo kuna jambo unalifanya kama ni sehemu ya kujitatua kimaisha na ugumu kutokea ni kubadilika na kuangalia njia nyingine itakayokusaidia. “Maisha yana nafasi nyingi za kukufanya ufanikiwe ili ndoto zako zifikie usipende kung’ang’ania vitu […]

Read More..

Kwaheri mwaka 2017 karibu 2018

Post Image

MWAKA 2017 ulikuwa mpya, sasa umekatika tukisubiria mwaka mwingine mpya 2018 zikiwa zimebaki siku nne tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka […]

Read More..

Uwoya Amponza Shamsa

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo kumzidi mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya. Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala […]

Read More..

Harmorapa Aendelea Kunganda Wema

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu ili aweze kumpata mrembo huyo. Harmorapa akipiga stori kwenye kipindi cha eNewz cha EATV amedai kuwa baada ya kuhangaika kwa marafiki zake Wema Sepetu […]

Read More..

Yaliyobamba, kutikisa 2017

Post Image

MASHABIKI wa burudani na sanaa nchini wanahesabu siku tu kabla ya kuuaga rasmi Mwaka 2017 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2018. Hesabu zinaonyesha zimesalia siku 9 tu ambazo ni sawa na saa 216 kabla mwaka haujakatika. Lakini mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, kuna mambo mengi yaliyojiri yatakayokumbukwa ambayo baadhi yalikuwa ya furaha, mengine ya huzuni na […]

Read More..

Shilole Soon Kumzalia Uchebe Kidume!

Post Image

STAA wa Muziki wa Mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, kwenye ndoa yake aliyofunga hivi karibuni, atamzalia mumewe, Ashiraf Uchebe mtoto mmoja wa kiume. Akizungumza na Star Mix, Shilole au Shishi Trump alisema, hawezi kusema kuwa hatazaa wakati tayari yupo ndani ya ndoa. “Natarajia kumzalia mume wangu kidume mmoja maana siwezi kuwa kwenye […]

Read More..

Kilichotokea kwa Kanumba ni sawa na Bob Mar...

Post Image

Msanii wa filamu wa Tanzania Jacob Steven amesema kifo cha Kanumba kilitokea wakati yupo kwenye ‘pick’ kwenye sanaa yake, na kufanya kuonekana wengine waliobaki hawana uwezo zaidi yake. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Rdio, JB amesema si kama Kanumba hakuwa muigizaji mzuri, au hakukuwa na waigizaji wazuri zaidi yake, isipokuwa alifariki katika kipindi […]

Read More..

Jokate Afunguka Ujio wa Muigizaji wa Nigeri...

Post Image

MIAKA saba baada ya kushirikishwa kwenye filamu ya The Devils Kingdom na marehemu, Steven Kanumba, staa mkongwe wa filamu kutoka Nigeria, Ramsey Nouah, ametua tena nchini kwa malengo mengine tofauti na filamu. Akizungumza na MTANZANIA, Jokate ambaye alikuwa mwenyeji wa Ramsey nchini, alisema msanii huyo hajaja kwa ajili ya kufanya filamu bali amekuja kama mhamasishaji […]

Read More..

Wastara: Nilikatwa Mguu, Nikakomaa, Nimefan...

Post Image

TABATA-Bima Kwenye makutano ya njia nne, ndipo palibadilisha historia ya maisha yake. Anaitwa Wastara Juma Issa Abeid. Ndiyo, ajali mbaya iliyohusisha pikipiki aliyokuwa amepanda yeye na aliyekuwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ na fuso ndiyo ilifungua ukurasa mpya wa maisha yake, simulizi yake inatia hamasa kwa wapambanaji wa maisha, hususan wanawake, twende aya kwa aya. […]

Read More..

Shilole Awajibu Wanaoiponda Ndoa Yake

Post Image

MSANII wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka na kusema wanaoiponda ndoa yake kwenye mitandao ya kijamii wana chuki binafsi. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema tangu afunge ndoa na mpenzi wake Uchebe, kumezagaa maneno ya majungu kitu ambacho hakiwezi kumkatisha tamaa na anaamini ndoa yake itadumu. “Mfa maji aishi kutapatapa, ndoa yangu imewaumiza […]

Read More..

Shamsa Ford Awatolea Uvivu Wasioolewa

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kuwachana baadhi ya wasanii wa kike na watu maarufu ambao hawataki kuolewa au wanasubiri waje kuolewa na watu wenye fedha zao na kudai kuwa watasubiri sana mpaka sura zao ziote sugu. Shamsa Ford amesema hayo wakati akimpongeza msanii Shilole baada ya kuolewa “Hongera sana mamy. Umefanya maamuzi […]

Read More..

Dude Atoboa Siri ya Maisha Yake

Post Image

KULWA Kikumba ‘Dude’ ametoboa siri ya maisha yake kuwa, tangu ajitambue hajawahi kuugua hadi kulazwa pia kupelekwa nyuma ya nondo kwa kosa lolote lile. Dude alizungumza na Full Shangwe na kusema anamshukuru Mungu kwa kumlinda kwa mambo hayo mawili katika maisha yake. “Tangu nimejitambua sijawahi kuugua hadi nikalazwa wodini au kupelekwa nyuma ya nondo kwa […]

Read More..

Shilole Atoboa Siri ya Kuolewa Kimya Kimya

Post Image

Msanii Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole amesema kilichomfanya afunge ndoa kimya kimya ni kutokana na ushauri alioupata  kutoka kwa Maustadhi kuwa siku ya ndoa ina mambo mengi na ‘husda’ nyingi, ndio maana alifunga ndoa kimya kimya. Shilole alitoa ahadi kuwa atafunga ndoa  kabla ya mwaka huu kuisha na kuwahaidi  mashabiki wake kuwa atawatangazia siku ya ndoa yake lakini […]

Read More..

New Video: Mafikizolo ft. Yemi Alade – Of...

Post Image

Kutoka katika albamu ya ’20’kundi la Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia video ya ngoma yao iitwayo ‘Ofana Nawe’ ambayo inayopatikana katika albamu hiyo. Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.

Read More..

Napenda kufanya movie za mapenzi kama Kanum...

Post Image

Video vixen Bongo, Tunda amefunguka mipango yake ya kutaka kuingia katika uigizaji wa movie. Tunda amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula hasa katika upande wa movie za mapenzi. “Kila kitu kina process ikifika kama inaruhusu nitafanya, napenda kufanya za mapenzi kama za Kanumba” Tunda ameiambia Bongo5. Katika hatua nyingine Tunda amesema si kweli alitoa/umetoka […]

Read More..