-->

Gabo Awapa Neno Waliomzushia Kifo Baada ya Kupata Ajali

Hivi karibuni msanii wa filamu za Kibongo Gabo Zigamba alipata ajali akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa na baadhi ya watu walizusha kuwa amefariki dunia mwenyewe amefunguka kupitia akaunti yake ya Instagram.

gabo89

“Uwongo unaoishi ndio Ukweli Mpaka Ukanushwe,nami naanzia hapa kwenye kukanusha,Ni kweli nimepata Ajali lkn Cjafa na maumiv ni ya Ndan Sana nacjavunjika kama isemakanavyo ila naumia Kwa watu wanao waombea wenziwao Mabaya.Nilikuwa na LENGO nzur la kugawana Umackini na wanyonge wenzangu na hata Mungu Akanicmamia.Eee Mollah wasameh kwan nam nimewasameh naamin Utaniongoza na Kunicmamia Leo,kesho na Hata milele #Nimesogea” Alisema Gabo.

GABO-1-1

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364