Artists News in Tanzania

Inside Story: Zimebaki Siku Chache Kuingia Sokoni

Fiamu ya kubwa ya Inside Story itaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye ukumbi wa  CINEPLEX CINEMA, QUALITY CENTER siku ya ijumaa tarehe 19 mwezi huu.

Fiamu ya INSIDE STORY imechezwa na mastaa wakubwa wa kimaifa kama Hakeem Kae-Kazim  na Fana Mokoena waliocheza kwenye filamu ya  Hotel Rwanda.

Hakeem Kae-Kazim

Hakeem Kae-Kazim na Don Cheadle wakiwa kwenye Hotel Rwanda

Fana Mokoena

Fana Mokoena Akiwa Kwenye Hotel Rwanda

Inside Story itasambazwa na Steps Entertainment, Kaa mkao wa kula.

Comments

comments

Exit mobile version