Artists News in Tanzania

Man Fizo Mkali wa Filamu ya ‘Nimekosea Wapi’

Nimekosea Wapi  kutoka Steps Entertainment ni  moja kati ya filamu zenye ubora wa juu zaidi kati ya filamu kadhaa zilizoingia sokoni mwaka huu.

MAN FIZO89

Man Fizo

Mbali ya kuwepo na mastaa kadhaa kama Gabo Zigamba kwenye filamu hiyo yupo Salum Saleh ‘ Man Fizo’ ndiyo mtengenezaji na amecheza kwenye filamu hiyo.

Wadau wengi waliotazama filamu hiyo wamemtabilia kufanya makubwa zaidi kwenye tasnia ya filamu hapa bongo.

Man Fizo

Kama nawewe umeitazama  ‘Nimekosea  Wapi’ , funguka umeonanini kwa Man Fizo.

 

Comments

comments

Exit mobile version