Kutoka Steps entertainment, Filamu ya GATE KEEPER inatarajiwa kuingia sokoni mwezi wa tatu mwaka huu.
GATE KEEPER imechezwa na mastaa kibao katika tasnia ya bongo movie , kutana na Vincent Kigosi (Ray) Single Mtambalike (Richie), Kajala Masanja, Nicole Franklyin.
Tazama Trailer ya Filamu hii hapa chini
Comments
comments