-->

Mume wa Shamsa Ford, Chid Mapenzi Atakiwa ‘Central ‘ Polisi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameamuru kukamatwa kwa mume wa muigizaji wa Bongo Movie Shamsa Ford, Chidi Mapenzi na kupelekwa polisi.

Shamsa Ford akiwa na mume wake, Chid Mapenzi

‘Kuna mtu anaitwa  Chid Mapenzi, huyo nataka  akachukuliwe sasa hivi nimkute  central’-Makonda aliagiza leo hii ikiwa ni muendelezo ya vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Chid Mapenzi ni mfanya biashara maarufu wa mavazi jinini Dar es salaam.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364