-->

Ndauka Aingia Kwenye Usimamizi wa Muziki

rose ndauka4

Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa, baada ya kuguswa sana na kuoa vipaji kwa wasanii wengi chipukizi, ameamua kuwekeza katika kusimamia vipaji hivyo kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto zao za kufanikiwa kisanaa, akisimama kama Meneja.

Rose amesema kuwa, kwa sasa ana wasanii wanaofikia 10, akiweka wazi kwa mashabiki wake kuwa ataanza rasmi kwa kumtambulisha msanii wake wa kwanza anayesimama kwa jina Casso ambaye atamtoa hivi karibuni.

EATV.TV

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364